ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 42,433
- 49,102
Habari Wakuu wa kigoda.
Waziri wa Nishati Bwana Januaary Makamba anasema November mwaka 2019 Umeme Ulizima Mikoa yote ya Tanzania kutokana na shida za uchakavu wa miundombinu, hiyo ni Kwa Mujibu wa taarifa ya CAG.
Makamba amesema mabwawa ya kuzalisha umeme wa Maji hayakufanyiwa matengenezo Kwa miaka 5 hivyo kupelekea kukatika katika hovyo Kwa Umeme.
Haya wale waliokuwa wakisema Umeme ulikuwa haukatiki awamu ya 5 mnaitwa huku mje kutetea legacy.
Kazi inaendelea.
===
Uliponiteua katika nafasi hii nilikutana na kadhia kubwa ya tatizo la umeme. Kitu cha kwanza tulichofanya ni kujifungua na Tanesco kubaini tatizo hasa ni nini. Wananchi kutopata umeme wa kutoshereza, umeme wa uhakika, Waziri wa Nishati Januari Makamba