Waziri wa Kilimo Zanzibar anesema Walitaifisha Ndizi za Mwanjala kuepuka magonjwa ya migomba, pia ndizi hizo ziliingizwa kimagendo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,149
Waziri wa Kilimo Zanzibar mh Shaame Khamis amesema Ndizi za Veronica Mwanjala zilitaifishwa kwa sababu Zanzibar imezuia kuingiza ndizi kutoka bara kwa sababu ya magonjwa ya migomba yaliyoko bara

Pia Mwanjala aliingiza Ndizi hizo kimagendo akizichanga nya na nyanya ili Mzigo uonekane ni wa Nyanya

Mh Khamis amesema siyo kweli kwamba Zanzibar inajitosheleza kea ndizi bali kinachohofiwa ni hayo magonjwa ya migomba yaliyoko bara

Chanzo: Mwananchi Digital
 
Kila siku naongea jukwaani humu Wazanzibari hatuutaki Muungano, hata hao viongozi wetu hawautaki na ndio maana Mtanganyika hana haki Zanzibar, lakini ndo ivo mumezidi kuwa wakaidi wacha mutiwe adabu maana hamjui kusoma alama na nyakati
 
Kwahiyo mumeshindwa kudai nchi yenu mpaka watanganyika tuwasaidie?
 
Waziri wa Kilimo Zanzibar mh Shaame Khamis amesema Ndizi za Veronica Mwanjala zilitaifishwa kwa sababu Zanzibar imezuia kuingiza ndizi kutoka bara kwa sababu ya magonjwa ya migomba yaliyoko bara...
kuna siku watakuja kutuona wa muhimu tu.
 
Au walihisi mama mfanyabiashara wa ndizi kachanyanya na mbuzikatoliki.
 
Kila siku naongea jukwaani humu Wazanzibari hatuutaki Muungano, hata hao viongozi wetu hawautaki na ndio maana Mtanganyika hana haki Zanzibar, lakini ndo ivo mumezidi kuwa wakaidi wacha mutiwe adabu maana hamjui kusoma alama na nyakati
hivi zenji ina nini cha haki ambacho mimi naweza kukililia? hata mimi natamani uvunjike hata leo ili mkae hukohuko.
 
Huyo waziri sijui alivuta kitu cha wapi mambo mengine ni uonevu wa kupitiliza sasa next mtakuwa mnatuambia wabara tunawaletea magonjwa ya kukohoa
Kwa nini usikiamini hicho anachosema Mheshimiwa Waziri? Why so negative?
 
sasa ndugu, shule yenyewe hawana. mwaka huu wameamua kutotangaza shule ya kwanza hadi ya mwisho kwasababu yao, miaka yote zile shule 10 za mkiani zote ni zao, akili watatoa wapi sasa?
 
Back
Top Bottom