CHADEMA ni CCM B official chini ya maridhiano ya kusaidiana

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,664
Ukiachana na mtaji , idadi ya wanajeshi, technology, uzalendo kwa ulimwengu wa kisasa lazima uwe na back up,Hii back ndio inamfanya Ukraine iendelee kupigana japo ilishiwa karibu kila kitu

CCM baada ya kuona sasa mtu mwenye nguvu anayependwa amekufa ikaamua kutafuta mshirika wa haraka kumbuka na Magufuli alikuwa na washirika wake wa vyama vya upinzani kama TLP na Cuf ya lipumba hata Kikwete alikuwa na CUF vile vile hii allied ya chadema na CCM imekuwa na nguvu CHADEMA kwa sasa ni CCM B

Kwa sasa ukihoji chochote kile kuhusu serikali ya CCM utajibuwa na Chadema tena kwa hasira na nguvu kubwa manana waliozungumza kwenye maridhiano ni kusaidiana ili kuvuka 2025 .

Kuna wakati barvicha hapa jukwaani wanamsaida Sofia mjema kujibia (wanafaa waitwe wapewe kifuta jasho ) kwa sasa CCM haina haja ya kufanya campaign maana chadema wapo kuwafanyia hata lisu amekuja akaona hali ni ngumu kwa zile siasa zake amebakia kuuma na kupuliza akaitwa akapewa maelezo akatulia

My take :ni muda muafaka MBOWE uje hadharani utangaze kuwa nyie sasa umeungana na CCM .

USSR
 
Moleli alikua sahihi
IMG-20230217-WA0056.jpg
 
Hahhahahhaahahaha wewe ndio mwenye akili mnayeshabikia kukarabati kivuko kwa 7.5B. majizi makubwa nyie
Unapinga unaliaamini mlitaka uhuru mmepewa ili muibiwe wapuuzi nyie

USSR
 
Kuna mbowe alilamba zero form four

USSR
Ni sahihi kabisa ila ana uelewa WA mambo na Yuko financially stable kuliko nyie simblisi wa CCM mnaotegemea majungu kulisha familia zenu!
 
Ukiachana na mtaji , idadi ya wanajeshi, technology, uzalendo kwa ulimwengu wa kisasa lazima uwe na back up,Hii back ndio inamfanya Ukraine iendelee kupigana japo ilishiwa karibu kila kitu

CCM baada ya kuona sasa mtu mwenye nguvu anayependwa amekufa ikaamua kutafuta mshirika wa haraka kumbuka na Magufuli alikuwa na washirika wake wa vyama vya upinzani kama TLP na Cuf ya lipumba hata Kikwete alikuwa na CUF vile vile hii allied ya chadema na CCM imekuwa na nguvu CHADEMA kwa sasa ni CCM B

Kwa sasa ukihoji chochote kile kuhusu serikali ya CCM utajibuwa na Chadema tena kwa hasira na nguvu kubwa manana waliozungumza kwenye maridhiano ni kusaidiana ili kuvuka 2025 .

Kuna wakati barvicha hapa jukwaani wanamsaida Sofia mjema kujibia (wanafaa waitwe wapewe kifuta jasho ) kwa sasa CCM haina haja ya kufanya campaign maana chadema wapo kuwafanyia hata lisu amekuja akaona hali ni ngumu kwa zile siasa zake amebakia kuuma na kupuliza akaitwa akapewa maelezo akatulia

My take :ni muda muafaka MBOWE uje hadharani utangaze kuwa nyie sasa umeungana na CCM .

USSR
Mnaweweseka kinyama wazee wa legacy 🤣🤣🤣🤣!! Wangesusia maridhiano au kutafuta suluhu bado wangeambiwa hawaitakii amani nchi yetu, mara wanataka vita sijui mnataka nn nyie wachunga ng'ombe!!!
 
Mnaweweseka kinyama wazee wa legacy !! Wangesusia maridhiano au kutafuta suluhu bado wangeambiwa hawaitakii amani nchi yetu, mara wanataka vita sijui mnataka nn nyie wachunga ng'ombe!!!
Hawa wamelamba asali tu hakuna lolote

USSR
 
Back
Top Bottom