Zitto Kabwe: Chama cha Siasa hakiuzi Nyanya, Vitunguu wala Maandazi bali kinauza Mawazo na Mteja wake ni Nchi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Chama cha Siasa hakiuzi Nyanya Vitunguu wala Maandazi bali kinauza Mawazo na Mteja wake ni Nchi

Naye Katibu mkuu Addo Shaibu amesema Chama makini lengo lake ni zaidi ya kuchukua Dola bali kuwakomboa kabisa Wananchi

Source ITV habari
 
Watawakomboaje wananchi kabla ya kuanza kwanza kujikomboa wenyewe?

Hizi ndio siasa uchwara zinazolitia aibu taifa letu.
 
Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Chama cha Siasa hakiuzi Nyanya Vitunguu wala Maandazi bali kinauza Mawazo na Mteja wake ni Nchi

Naye Katibu mkuu Addo Shaibu amesema Chama makini lengo lake ni zaidi ya kuchukua Dola bali kuwakomboa kabisa Wananchi

Source ITV habari
Wacha tuone ifikapo 2025 ukawa itakuwepo!
 
Mbona CCM wanafanya biashara ya fremu na kumbi za harusi?!
 
Back
Top Bottom