Lissu familia ameiacha Ulaya halafu anahamasisha maandamano ya Wanyonge?

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,550
11,879
Hili lazima tuliangalie kwa jicho la tatu!jana akiwa pale Temeke alitoa tamko. Kwamba, atawaomba Watanzania na wanachama wa Chadema kuingia mtaani kuhakikisha katiba mpya inapatikana kabla ya Mwaka 2025.

Lakini wakati akisema hayo.

Lissu ametelemka uwanja wa Ndege wa "JNIA" Dar es Salaam, akiwasili bila kuandamana na familia yake!

Kwa maana kwamba amewaacha watoto wake,wakiendelea na mihula yao ya Masomo,huko Ulaya,
sambamba na mkewe ambae kimsingi ndie msimamizi wa familia.

Pia hata aliekuwa dereva wake, ambae walikimbia wote. Huenda anaendelea na kibarua chake huko huko,akaendelea kuwapeleka watoto shule na huduma zingine.

Hivyo, Lissu yuko hapa kimwoli,lakini kimawazo na kimaslahi. Yeye yuko Ulaya!

Na ikitokea akahsmasisha vurugu,zikitokea kutodhibiyika Lissu yeye atatimkia tena Ubelgiji,akiwaacha mkiumia kama alivyokwisha fanya hapo awali mwaka 2020,baada ya uchaguzi mkuu.

Lissu amekwisha lipwa stahiki zake zote,ikiwemo pia na gharama zake za matibabu (hii ni kwa mujibu wa kauli za serikali, pamoja na Lissu mwenyewe). Hata shavu lake linaashiria kwamba yuko kwenye neema.

Sasa anakuja kuwahamasisha watu walioko kwenye hizi dhiki za "Tozo", kwamba tatizo la dhiki zoote,litaondoka pale tu,watakapoamua kuingia mtaani kudai katiba mpya kwa kutumia. People's Power

Waumie wanyonge, wafe wanyonge,wapate vilema wanyonge, yaani Punda afe, ila Mzigo ufike!

Kisha siku ikitokea ndoto yake ikatimia.

Ndio familia yake ije nchini na kuendelea kulamba asali,baada ya kuwatumia wanyonge kwa utofahamu wao wa mambo!

Lissu na wanasiasa wengi wa kariba yao,hawana mapenzi ya dhati na watanzania wanyonge wa nchi hii.

Ndio maana yeye kwa ubinafsi wake,hufurahia pale mali za nchi hii kukamatwa nje ya nchi na kupelekea serikali kulipa mapesa mengi ambayo kimsingi ni jasho la walipa kodi wa nchi hii, ambao ndio sisi wanyonge anaotudhihaki kila uchao!

Ni Lissu huyuhyu ambae huwa ni mtetezi wa wezi wa madini yetu toka Ulaya, akifikia hadi kutoa ushirikiano kwao kitupeleka "MIGA" ili watushinde na kulipwa fidia na kisha yeye apate ujira wske kwa mchango wake.

Pia atutolee udafanuzi kuhusu hii picha hapa. Rais mtarajiwa wa Chadema,kwamba huyu mzungu ndie nani,na wakati haya yakiendelea. Mkeo alikuwa wapi hapo airport?

JamiiForums1002873140.jpg

Hii ilikuwa juzi Huko Ubelgiji,muda mfupi kabla ya kuingia ndani ya ndege kuanza safari ya Tanzania.

Nimekuja na nimetoa nilichokiona. Wale wa matusi pia karibuni, ila jiwe la gizani limerushwa!

Alamsikhi.
10101.
 
Tunajua Sukuma Gang mumeumia sana kuona Lissu yuko hai na mzilankende yuko motoni anapokea ujira wake. Na tunajua kuwa mnapanga kulipua mabomu kwenye mikutano yetu. Na mlivyo wapumbavu mnaona Chadema ni adui yenu ilhali adui yenu ni Msoga Gang.
 
Acha upumbavu mkuu... Hata kama uko kwenye mfumo nufaika ktk mambo ya msingi jaribu kuacha upumbavu.
Mpumbavu ni wewe unaetegenea mtu bila tafakuri!
Mpumbavu ni wewe muandika midtari miwili ya matusi na kingia mitini!
Moumbevu ni yule amtumain8ae binadamu mwenzake!
Eti....@blogger ,

Wewe bi blogger wa Ushuzi.
 
Ungekuwa wewe ungeirudisha familia haraka haraka? Hiyo picha haina mashiko kabisa, ninyi uvccm mnawakilisha kundi la vijana wa nchi hii wenye ugonjwa wa akili, anayetakiwa kulalama kuhusu hiyo picha ni mkewe si mwingine.

Na akikutajia huyo mama wa kizungu ni nani itakusaidia nini? Jitahidi ukuze akili yako!
 
Yeye mke wake na watoto wake wawe bega kwa bega kwenye maandamano hayo, Jamaa mtu wa Shari kweli watanzania sio wajinga kihivyo, kila kitu kinawezekana kwa kukaa mezani.

Ipo shida ya afya ya akili.
 
Kenya kuna katiba mpya , ila wanateseka kama sisi tu
Tena Oginga ameanza maandamano anataka tena,katiba ifanyiwe marekebisho kuhusu IEBC....

Wanyonge wa Danfora,E-Sree,Karikor,Kawangware,Mathare na kwingineko...

Shida iko pale Pale....
Katiba yao mpya iko kazini siku zote.

Lakini maisha yako vilevile.katiba mpya sio Maisha Mapya,bali ni Sheria mpya baina ya watawala na watawaliwa!
 
Mbona unasema kaacha familia Ubelgiji na wakati huo huo wamtaka amtaje huyo mama wa kizungu ni nani!!
Hapo ni issue ya maadili,wewe hufajamu kitu.
Mke wa Lissu ni Mkerewe binti Wa Mzee Magabe.
Na sio huyo Mzungu asilani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom