MWANZIVA AFANYA KIKAO KAZI NA MAKATIBU HAMASA MKOA WA DAR ES SALAAM
Picha za Matukio mbalimbali wakati Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Cde. Victoria Charles Mwanziva...
14 February 2023
Dodoma, Tanzania
Makamu wa Rais Chama cha Walimu Tanzania CWT aondoa kesi yake ya Kupinga kungolewa
Mbele ya jaji wa Mahakama Kuu mheshimiwa jaji Mdemu, pingamiza aliloweka...
Yafuatayo ni maoni yangu binafsi - kwanza kama mtanzania halafu baadae kama Mwa CCM kwani daima Naamini Tanzania Kwanza, Siasa Baadae. Mengi ya sababu hizi zinatokana na wananchi wenyewe ambao...
UTV wanalipoti KUWA uhaba wa dawa umesababishwa na serikali kushindwa kulipa kiasi cha billion 272 wanazo wadai serikali kwa muda mrefu na kufikia kushindwa kuendesha shughuli zake
Ndio maana...
Unaweza ukajiuliza kwanini Manaibu Waziri walitokea upinzani watabakia hapo na hawawezi kupanda kwa mawaziri yaani wawe ndani baraza la Mawaziri linaloketi na kujadili, kumshauri na kupitisha...
MHE. JULIANA SHONZA, MBUNGE (UWT) CCM VITI MAALUM MKOA WA SONGWE AFANYA ZIARA YA KIMKAKATI
Katika ziara yake iliyoanza mnamo tarehe 18 Februari, 2023 Mhe. Juliana Daniel Shonza alifika Wilaya ya...
Siyo Kwa sababu ni mwanamke mwenzangu, hapana ni Kwa sababu ni mama na ni kiongozi anaewakilisha vyema maana ya utawala wa demokrasia.
Mtaongea vibaya juu yake, yeye kimya na kupiga Kazi...
Tanzania inahitaji viongozi wanaothubutu kuchukua hatua Kama kijana huyu,
Pesa zinatafutwa kwa shida Sana na Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan lakini zinatumiwa vibaya na baadhi ya Watendaji...
Tundu Lisu anajua kutoka moyoni kwa uhakika kabisa kwamba Magufuli hakuhusika na shambulio lake lkn kwa kuahidiwa hela akakubali kulichafua Jina la Magufuli kwa kumsakizia mambo ya uongo...
Tujiulize tu kwa sababu siyo Watanzania wote ni wajinga. CHADEMA kwa sasa ndio wamelishikia bango Katiba mpya lakini ni CHADEMA hawahawa walikula posho Bunge la Katiba na kukimbia mchakato.
Ni...
Ni siku 702 tangu Rais Samia Suluhu akabidhiwe majukumu ya kuliongoza Taifa la Tanzania. Katika kipindi kifupi cha uongozi wake ameonyesha utayari wake wa kupunguza au kumaliza changamoto za elimu...
Kuanzia asubuhi ya leo wafasiri na wasindikizaji watatakiwa kulipa kodi ya kuingia stand ya kimataifa ya Magufuli iliyoko mbezi Louis jijini Dar es Salaam.
Utatakiwa kununua kadi (once use) pale...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, Jimbo Kuu la Kaskazini mwa Tanzania Dkt. Mch. Godwin...
Vikiitwa vibao vya anuani ya makazi eti vitasaidia kuongeza maendeleo ya jamii na mtu mmoja mmoja hapa nauliza nani mpaka sasa amefaidika navyo maana tulitumia bilioni 692 pesa za walipa kodi ...
Tumejipanga na tunakuja na mkakati kabambe kumaliza Migogoro ya wakulima na wafugaji alisema Shaka,
Kwa msisitizo alisema, Nataka tuandike pamoja historia ya kumaliza kabisa changamoto ya...
Serikali imeanza uchunguzi wa ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi uliofanywa na Serikali ya Rais John Magufuli, kupitia alichoita, “Sheria ya Plea Bargain," Raia Mwema imeelezwa. Taarifa kutoka...
Shortly,
Tumesikitishwa sana na hawa vijana wenzetu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walioamua kuidhalilisha taasisi nyeti ya Urais Tanzania huenda kwa kujua au kutokujua,
Nikweli, Tunafahamu Rais...
Ndugu zangu Watanzania,
Kiongozi Bora ni yule mwenye uwezo na ubunifu wa kuonyesha na kuongoza njia. Ni yule awezaye kutangulia mbele na kufuatwa na wengine. Ni yule awezaye kuwa na dira na...