USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,896
- 22,664
Unaweza ukajiuliza kwanini Manaibu Waziri walitokea upinzani watabakia hapo na hawawezi kupanda kwa mawaziri yaani wawe ndani baraza la Mawaziri linaloketi na kujadili, kumshauri na kupitisha mambo muhimu ya kitaifa kwa kupiga kura jibu ni moja tu waliowahi kuwa kinyume na Serikali hiyo hiyo
Huko nyuma Dkt. Makongoro Mahanga aliwahi kulalamika kuwa Rais Kikwete hampandishi kuwa Waziri japo ana elimu kubwa kuliko waliotokea chini. Jibu lilikuwa moja tu aliwahi kuwa kinyume na Serikali kama mpinzani.
Dkt. Mwakyembe na Nape walijaribu kuanzisha chama waliitwa haraka na Kikwete kipindi hicho Mwakyembe ambaye aliwahi kuwa Waziri sasa alitaka kuhasi alitulizwa haswa na kupewa Uwaziri na Nape usemaji
Kwa hiyo Gekul, Silinde, Mollel na Katambi watabakia hapo mpaka waachishwe na hilo ni moja ya kosa kubwa la Hayati Magufuli kwa deep state, kuwapa Unaibu Waziri hawa wabunge hii Kikwete akikataliwa kabisa kumpa uwaziri au unaibu Mbatia na Jussa kipindi kile.
Ukiishi kuwa mpinzani utabakia kubwa mpizani CCM hawatakubali uwe sehemu serious katika mambo yao (msemo wa ng'ombe alikatwa mkia)