Rais Mwinyi akutana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, Jimbo Kuu la Kaskazini mwa Tanzania

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
731
475
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, Jimbo Kuu la Kaskazini mwa Tanzania Dkt. Mch. Godwin Lekundayo na Ujumbe wake waliofika Ikulu kwa Mazungumzo.

Aidha, Askofu Dkt. Lekundayo ameipongeza Serikali ya Awamu ya Nane inayoongozwa na Rais Dk. Mwinyi kwa jitihada inazofanya kuwaletea Maendeleo Wazanzibari na Kuendelea Kudumisha Amani na Utulivu kwa Taifa. Leo tarehe 20 Februari, 2023.View attachment 2524283View attachment 2524285View attachment 2524284
IMG-20230220-WA0216.jpg
 
Watapata ardhi kweli ya kujenga makanisa,au ndio watakatiwa kiwanja cha futi 50 kwa 40, kama alivyo sema askofu mkuu wa RC zanzibar.
 
Back
Top Bottom