USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,229
- 28,948
UTV wanalipoti KUWA uhaba wa dawa umesababishwa na serikali kushindwa kulipa kiasi cha billion 272 wanazo wadai serikali kwa muda mrefu na kufikia kushindwa kuendesha shughuli zake
Ndio maana ukienda kwenye hospitali za serikali,vituo vya afya na zahanati hawana dawa unaambiwa kanunue dawa mtaani hata vifaa tiba watu wanunua sindano na maji nje ya hospitali hasa kwa watu wenye bima ya afya.
Kumbe serikali ya maridhiano hailipi pesa ,hivi unajua kuwa afya ya wananchi ni jambo la muhimu zaidi ya kulinda mipaka na magari ya mabilioni ya kina mwigulu
Unanunua magari ya mabilioni,inalipa mishahara hewa na watu wasio na vyeti ,unamlilia nauli Lisu na mbowe na simba na yanga kumbe tunadaiwa na hatuna dawa sio kwa sababu sisi ni maskini kumbe sababu ni ubabaishaji