Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sijui nini kinaendelea na nini kimewafanya Watanzania waichoke CCM chama tawala. Ukitazama mikutano miwili moja ya Waziri Mkuu Majaliwa wa wiki iliyopita uliofanyika Mjini Tunduma na ule wa jana...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau wa Maendeleo na wasomi wilayani Longido wamejipanga kuishtaki mahakamani Halmashauri ya Longido kwa ubadhirifu wa fedha za umma baada ya kubaini kwamba Mkurugenzi wa Halmashauri ,Stephen...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kumekua na jitihada nyingi ingawa sio halisi za kupambana na ufisadi mpaka ukaundwa Mahakama ya mafisad! Binafsi naamin katika sheria kali ambazo zitapatikana kupitia katiba mpya. Hatuwez kamwe...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwenye manunuzi huwa hatuangalii bei peke yake labda uwe mwehu wa kutupwa! Kuna factors nyingi zinakua considered na mara nyingi price inakua ndio ya mwisho, mnaweza mka-negotiage price. Sasa...
14 Reactions
26 Replies
4K Views
Ukaribu wa Sugu na Wenyeviti wa CCM haujaanza leo Amekuwa Karibu na JK Amekuwa kijana wa Maguful Na sasa yuko Karibu na mh Rais Samia Hili ni jambo jema sana!
1 Reactions
8 Replies
700 Views
Sina mengi ya kuuliza ninataka kujua utaratibu ulio TUMIKA kuwapat vijana 812 ambao wanatarijiwa kwenda kupewa mafunzo ya kilimo? Ukiweza type data ni wangapi. Waliomba na wangapi wamechukuliwa n...
15 Reactions
38 Replies
3K Views
Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua Magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini. Ninaomba michango yenu.
6 Reactions
69 Replies
3K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo Jumamosi Februari 25, 2023 ameupokea ujumbe wa Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB, ukiongozwa na Rais wake...
0 Reactions
2 Replies
629 Views
Freeman mbowe awe na akiba ya maneno nakumbumbuka yeye na viongozi wenzake wakina msigwa n.k walizunguka nchi nzima kwa kutoa tuhuma mbalimbali dhidi ya lowasa kuwa hafai kupewa hata uenyekiti wa...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Thanks God that all is well. In fact our GDP is still very low and it is as 5 times lower that that of Washington DC not speaking about the whole country. Even the low budget of roughly 3.3...
5 Reactions
81 Replies
4K Views
Akihubiri mjini Moshi mkoani Kilimanjaro Mwalimu Mwakasege amesema ni lazima Waumini wajiulize Kwanini wengine wanakufa na wao bado Wanaishi Mwakasege amesema Wewe kubaki hai haimaanishi kwamba...
23 Reactions
54 Replies
3K Views
johnthebaptist Nakualika twende kwa Mdude CHADEMA Nyagali kijijini kwake tukasikilize mkutano kijijini kwake. Angalizo kwa CHADEMA: Jaribu ku moderate aongee nini kwenye kadamnasi, maana ndugu...
21 Reactions
74 Replies
4K Views
MHE. NANCY NYALUSI (MB) ATOA MSAADA MAGODORO 50 KWA SHULE YA WALEMAVU Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa (CCM) Mhe. Nancy Nyalusi tarehe 24/2/2023 amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya...
0 Reactions
3 Replies
924 Views
Kudos Wadau. Ukipewa na Mungu umepewa tuu no way out nyota yako itafifia.. Rais mstaafu wa awamu ya 4 wa Tanzania na Mwanadiplomasia mashuhuri wa Afrika Jakaya Mrisho Kikwete ameteuliwa na WFP...
15 Reactions
138 Replies
7K Views
System haiwezi kumteua mtu asiye na umuhimu kwa nchi. Hata kama una PhD, una pesa lakini hujulikani, umejificha huko unafikiri nani atakuona?! Kazi kunung'unika, kulalamika, kujificha, huonekani...
3 Reactions
10 Replies
580 Views
Tangu enzi za ukoloni, KENYA ndio ilikuwa lango kuu la kuingilia Afrika Mashariki na kati. Na limeendelea kuwa eneo muhimu la kuimarisha UKOLONI mamboleo, toka nchi za magharibi, mpaka sasa...
2 Reactions
64 Replies
5K Views
Nafikiri watanzania tumeona jinsi huyu Lihanjo alivyo gamba lingine ndani ya CCM, kwa jinsi bunge lilivyomtuhumu toka wizara ya Maliasili na utalii hadi sasa kwenye sakata la nishati na madini...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kipindi cha uongozi wa Kikwete nchi ilikuwa na mwelekeo wake hali kadhalika kipindi cha Magufuli kulikuwa na mwelekeo mwingine mpya ambao nadhani kila mtu ulimuweka katika mazingira ambayo...
0 Reactions
26 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Joe Biden siku ya Alhamisi alimteua mtendaji mkuu wa zamani wa Mastercard Ajay Banga kuongoza Benki ya Dunia. "Ajay ana uwezo wa kuongoza Benki ya Dunia katika wakati huu muhimu...
2 Reactions
6 Replies
838 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…