ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,117
- 49,840
Kudos Wadau.
Ukipewa na Mungu umepewa tuu no way out nyota yako itafifia..
Rais mstaafu wa awamu ya 4 wa Tanzania na Mwanadiplomasia mashuhuri wa Afrika Jakaya Mrisho Kikwete ameteuliwa na WFP kuwa Mwenyekiti wa Tuzo ya Chakula Afrika (AFP) inayoratibiwa na kutolewa na Africa's Food Systems Forum (AGRF) akipokea kijiti kutoka kwa Rais mstaafu wa Nigeria, Obasanjo.
Hii inakuwa ni taasisi yake ya 5 kuiongoza au kuwa mjumbe wake kwa ngazi ya Kimataifa na Kitaifa hata baada ya Kustaafu Urais.
Hadi Sasa JK ni Mwenyekiti au Mjumbe wa Taasisi zifuatazo:
-Tuzo ya Chakula Afrika AFP- Mwenyekiti Mpya
-Sadc Panel of Elders(PoE)-Mwenyekiti
-High Level Commission (HLC) on IPCD25-Mwenyekiti Mwenza
-Global Partnership for Education Board -Mwenyekiti Mwenza
-University of Dar es Salaam-Chancellor
-AGRA/Sadgot Africa -Board Member
-Jakaya Mrisho Kikwete Foundation
Aidha, amewahi kuwa mjumbe maalumu wa Umoja wa Afrika na UN kwenye kushughulikia amani ya Libya, Kiongozi wa jopo la uangalozi wa uchaguzi wa EAC Kenya,SADC Zambia na Angola nk.
Hongera sana JK Kwa kuendelea kuaminiwa kwenye uga wa Kimataifa na kulitangaza Jina la Tanzania kwenye mambo mazuri kama Nyerere,Mkapa na Samia tofauti na yule aliyeturudisha nyuma.
Angalizo,Mods msibadili Heading
View attachment 2521141