Mwenye macho haambiwi tazama:
Kwani hata ipo siri? Inatakiwa Katiba Mpya hapo.
Ni wazi kuwa hata ule upande mwingine, salamu zitakuwa zimewafikia.
Mungu Ibariki CHADEMA.
Hakika waswahili wanasema kuwa pembe la ng'ombe halifichiki.
Mbunge wetu alituahidi mambo mengi mwaka 2020 ikiwemo kutuletea treni kutoka Marekani kwa marafiki zake.
Kutuletea boti za uvuvi hasa...
Shule ya Singi Keza Wilayani Ngara, hatihati kufungwa kwa Ukosefu wa Vyoo unaopelekea mazingira ya shule kuwa Magumu Kufundisha na kujifunzia.
Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba George Ruhoro...
Siasa siyo Uadui na Msema Ukweli'ni mpenzi wa Mungu hivi hapo Tunduma mbunge wa CCM ni nani?
Kuna maeneo ubabe wa Shujaa Magufuli unajidhihirisha bila kutumia nguvu kubwa
Niseme tu 2020 Shujaa...
Ndugu zangu zilikuwa ni ndoto za baba wa Taifa kuijenga Tanzania yenye usawa na haki kwa watu wote, Tanzania ambayo kila mtu alikuwa ana nafas sawa katika kuijenga na kunufaika na matunda yake...
Habari wakuu.
Kiukweli inaumiza sana wazee wa Nchi hii waliptumikia Nchi Kwa jasho na Kodi zao hawathaminiwi kabisa..
Sio sawa kwamba inaonekana Kuna ubaguzi mkubwa sana wa kijamii,kwamba Nchi...
Habari wana JF,
Nimshauri ndugu Zitto Kabwe, kwamba raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wanahitaji zaidi kusikia habari zinazohusu katiba mpya na sio gonjera zake hizo.
Wanasisasa wa nchii...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni amesema Wameshindwa kupambana na Biashara ya Ukahaba hivyo Wataomba Ihalalishwe na Wasajiliwe Kabisa
Chanzo: Jambo TV
Tanzania Bado ni nchi ya kikoloni!! Kama haupo kwenye cycle ya utawala utaendelea kutawaliwa TU!! Kila teuzi zinazotangazwa wanateuliwa wale wale ambao wamo kwenye uongozi na utawala miaka nenda...
Serikali ya Rais Samia Suluhu kupitia Wizara ya Kilimo imesema imekusudia kutoa ajira Milioni 3 Kwa vijana na wanawake kupitia Programu ya (Building Better Tomorrow) kwa kushiriki Kilimo biashara...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kwa awamu hii hatarajii kukosea tena kuhusu Media services act ambayo wadau wa habari wamekuwa wakiilalamikia tangu...
Februari 24, 2023 Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva akiambatana na uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ameshiriki zoezi la ugawaji wa pikipiki kwa Maafisa Watendaji wa Kata nane...
Rais Samia Suluhu Hassan,
aliporuhusu vyama vya siasa kufanya mikutano yao ya hadhara nchini,kwa uhuru na bila kubughudhiwa.
Chama cha kwanza kuzindua mikutano yake nchini,kilikuwa ni CHADEMA...
Wadau mbunge wa Geita ambaye ametunikiwa degree ya heshima na chuo kikuu kisichojulikana amejinadi kuwa kuna vyuo vikuu kama UDSM, SAUT n.k vinamhitaji akawafundishe elimu ya uchumi. Msomi huyo...
Binadamu wote ni jasiri! Hata mimi na wewe, sote ni majasiri na wakati mwingine vile viwango vyetu vya uvumilivu vinapokoma, nafsi na miili yetu hufika ukomo wa kuona maumivu kufaa kuvumilika...
Ni dhahiri kwamba sasa vyama vya upinzani nchini.Vinaelekea kuchukua mkondo mpya wa kisiasa.kwa kubadili aina ya upatikanaji wa wanachama wa kujiunga na vyama vyao.
Tulizowea kuona majukwaani...
Mwanzilishi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameliambia gazeti la Nipashe online kuwa wenzake 19 waliuawa kati ya mwaka 2015 hadi 2021 na yeye alinusurika kuuawa huku akikamatwa mara 16...
Tulipofika kila kiongozi anajitetea kwa wananchi kuwa anaijenga upya taasisi aliyopewa (upuuzi mkubwa huu) kila mmoja ukimuuliza atakwambia maika saba ya Magufuli hakukuwa na lolote lililofanyika...
Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya (EIB) imeeleza sababu za kurejea Tanzania na kufanya uwekezaji mkubwa wenye thamani ya Euro milioni 540 baada ya kutokuwapo kwa miaka saba nchini.
Moja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.