Freeman Mbowe akiwa Tunduma anasema David Silinde aliwasaliti wana Tunduma kwa kuhamia CCM. Je yeye na ya Lowassa!!

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Freeman mbowe awe na akiba ya maneno nakumbumbuka yeye na viongozi wenzake wakina msigwa n.k walizunguka nchi nzima kwa kutoa tuhuma mbalimbali dhidi ya lowasa kuwa hafai kupewa hata uenyekiti wa mtaa kwa kuwa ni mwizi lakini cha ajabu na cha kushashangaza huyohuyo waliyesma hafai mbele ya umma ndiye akampa bendera ya chama kwa ajiri ya kugombea uraisi kama siyo vipande vya fedha nini kilipelekea yeye kufanya hivo huku tayari a!eshaaminisha umma kuwa ni mwizi na fisadi.tuhuma anazozitoa kwa silinde za kwamba alipewa vipande vya fedha na kumwabudu mtu badala ya mungu akafanya usaliti na je yeye tuseme kama tunavyoamini ccm ilimtumia kwa kupewa vipande vya fedha ili amchafue lowasa?

Mbowe acha kuchafua wenzako jikite kwenye maada zenye mashiko au ni kweli una lamba asali mbona mikutano yako ni yakusema watu na jpm mbona husemi maswala ya mfumuko wa bei, loliondo n.k.

Ni aibu kubwa na yakusikitisha chama kinachojiita ni chama kikuu cha upinzani kubaki kuongea watu badala ya hoja zenye mashiko kwenye umma wawa tanzania. wengi wetu tunajuwa chama hicho ni geresha tu kuwa ni upinzani kwani hakipo kwa ajiri ya mikakati ya kuchukua dola .
 
Uelewa wako ni mdogo! Ujio wa Lowasa uliipaisha chadema na kupata wabunge over 100!
 
wewe uelewa wako ni mdogo huenda umeamka na konyagi kichwani kwa hiyo mnaposema mtu ni mwizi akiwa na ushawishi basi huyohuyo ndiye anayefaa! pombe uliyoamkanayo ni mataputapu kabisa. kwa sasa umma ulishawajuwa nyie siasa zenu ni kwa ajiri ya nini.
 
Freeman mbowe awe na akiba ya maneno nakumbumbuka yeye na viongozi wenzake wakina msigwa n.k walizunguka nchi nzima kwa kutoa tuhuma mbalimbali dhidi ya lowasa kuwa hafai kupewa hata uenyekiti wa mtaa kwa kuwa ni mwizi lakini cha ajabu na cha kushashangaza huyohuyo waliyesma hafai mbele ya umma ndiye akampa bendera ya chama kwa ajiri ya kugombea uraisi kama siyo vipande vya fedha nini kilipelekea yeye kufanya hivo huku tayari a!eshaaminisha umma kuwa ni mwizi na fisadi.tuhuma anazozitoa kwa silinde za kwamba alipewa vipande vya fedha na kumwabudu mtu badala ya mungu akafanya usaliti na je yeye tuseme kama tunavyoamini ccm ilimtumia kwa kupewa vipande vya fedha ili amchafue lowasa?

Mbowe acha kuchafua wenzako jikite kwenye maada zenye mashiko au ni kweli una lamba asali mbona mikutano yako ni yakusema watu na jpm mbona husemi maswala ya mfumuko wa bei, loliondo n.k.

Ni aibu kubwa na yakusikitisha chama kinachojiita ni chama kikuu cha upinzani kubaki kuongea watu badala ya hoja zenye mashiko kwenye umma wawa tanzania. wengi wetu tunajuwa chama hicho ni geresha tu kuwa ni upinzani kwani hakipo kwa ajiri ya mikakati ya kuchukua dola .
Uelewa wako ni mdogo sana na unajichanganya na hujui maana ya neno hoja . Shule za kata zimeleta matatizo makubwa
 
Sasa mtu anaenda jimboni kwa mtu badala ya kutoa sera anaanza kumnanga mtu. Ndio maana Magu alisema wakae pembeni waache watu wafanye kazi, sio kila muda ni siasa tu.
 
Tuhuma zako umezigawa sehemu mbili, sehemu ya kwanza ni kumchafua Lowassa ambayo umeita usaliti, na ya pili ni kumpa nafasi apeperushe bendera ya Chadema kwenye uchaguzi mkuu.

Tuanze na sehemu ya kwanza, hivi Lowassa mwenyewe aliwahi kwenda mahakamani kuwashtaki hao waliomchafua kwa kumuita fisadi? hapana, hakuwahi kwenda.

Hii maana yake ni kwamba, hata yeye Lowassa binafsi hakuwa anaielewa status yake, hakujijua kama ni msafi au mchafu, ndio maana nae akabaki kimya tu, licha ya watu wa nje [mleta mada na wengine kuona amechafuliwa].

Sasa kwenye mazingira hayo, unaanzaje kuwalaumu wale waliomuita mchafu? kwa kosa gani walilofanya ikiwa muhusika mwenyewe hakuwa anajielewa?

Nikija kwenye sehemu ya pili ya kile ulichoandika, kuhusu Lowassa kupewa bendera ya Chadema kuipeperusha kwenye uchaguzi mkuu, hapa ndipo unaweza kuwa na hoja.

Naandika hivyo kwasababu, inakuwaje nyie mliomuita huyu mchafu, na hamkuwahi kumsafisha kabla, ghafla mnakuja kutuambia ni msafi anafaa kupeperusha bendera ya chama chenu?

Huo usafi aliupata lini? au aliupata ghafla baada ya Chadema kuona Lowassa ni kete nzuri ambayo ingewawezesha kushinda uchaguzi, kama tulivyoona kwenye idadi ya kura nyingi alizopata akiwazidi wapinzani wote waliowahi kugombea kabla?

Hatua ile pia naweza kuiita ilikuwa ni political calculation ambayo ilichezwa vizuri na ikawa na mafanikio kwa chama, idadi ya kura, kuongeza idadi ya wabunge majimboni kulikopelekea kuongeza wabunge wa viti maalum, nk.

Mwisho nimalizie kwamba, kwa idadi ya kura alizopata Lowassa, na uungwaji mkono mkubwa alioupata toka kwa wananchi wakati wa kampeni [ mafuriko ya Lowassa]

Inaonesha hata watanzania wenyewe hawakuyaamini madai ya ufisadi wa Lowassa, labda ndio maana mwenyewe akaamua kukaa kimya, hakwenda mahakamani kumshtaki yeyote kwamba amechafuliwa, aliacha nature iamue, na mwishowe ikaamua kweli.
 
Freeman mbowe awe na akiba ya maneno nakumbumbuka yeye na viongozi wenzake wakina msigwa n.k walizunguka nchi nzima kwa kutoa tuhuma mbalimbali dhidi ya lowasa kuwa hafai kupewa hata uenyekiti wa mtaa kwa kuwa ni mwizi lakini cha ajabu na cha kushashangaza huyohuyo waliyesma hafai mbele ya umma ndiye akampa bendera ya chama kwa ajiri ya kugombea uraisi kama siyo vipande vya fedha nini kilipelekea yeye kufanya hivo huku tayari a!eshaaminisha umma kuwa ni mwizi na fisadi.tuhuma anazozitoa kwa silinde za kwamba alipewa vipande vya fedha na kumwabudu mtu badala ya mungu akafanya usaliti na je yeye tuseme kama tunavyoamini ccm ilimtumia kwa kupewa vipande vya fedha ili amchafue lowasa?

Mbowe acha kuchafua wenzako jikite kwenye maada zenye mashiko au ni kweli una lamba asali mbona mikutano yako ni yakusema watu na jpm mbona husemi maswala ya mfumuko wa bei, loliondo n.k.

Ni aibu kubwa na yakusikitisha chama kinachojiita ni chama kikuu cha upinzani kubaki kuongea watu badala ya hoja zenye mashiko kwenye umma wawa tanzania. wengi wetu tunajuwa chama hicho ni geresha tu kuwa ni upinzani kwani hakipo kwa ajiri ya mikakati ya kuchukua dola .
Juzi tu kalia watu wanamsema amelambishwa asali sasa anataka kuchonga mzinga
 
Mtoa mada jitahidi upate clip nzima ya hotuba ile, then uje na mada kama hii, alichokisema Mh.Mbowe ni usaliti mkubwa alioufanya Mr.Silinde uliopelekea watu kupoteza maisha ,kuwa na vilema vya kudumu na hii ni dhambi kubwa, Mh.Lowassa Alitalia haki yake ya kujiunga na chama chochote kama ilivyo kwangu na kwako, always jitahidi kuelewa sio kuuliza au kulaumu, complaining ni udhaifu mkubwa wa kushindwa
 
Freeman mbowe awe na akiba ya maneno nakumbumbuka yeye na viongozi wenzake wakina msigwa n.k walizunguka nchi nzima kwa kutoa tuhuma mbalimbali dhidi ya lowasa kuwa hafai kupewa hata uenyekiti wa mtaa kwa kuwa ni mwizi lakini cha ajabu na cha kushashangaza huyohuyo waliyesma hafai mbele ya umma ndiye akampa bendera ya chama kwa ajiri ya kugombea uraisi kama siyo vipande vya fedha nini kilipelekea yeye kufanya hivo huku tayari a!eshaaminisha umma kuwa ni mwizi na fisadi.tuhuma anazozitoa kwa silinde za kwamba alipewa vipande vya fedha na kumwabudu mtu badala ya mungu akafanya usaliti na je yeye tuseme kama tunavyoamini ccm ilimtumia kwa kupewa vipande vya fedha ili amchafue lowasa?

Mbowe acha kuchafua wenzako jikite kwenye maada zenye mashiko au ni kweli una lamba asali mbona mikutano yako ni yakusema watu na jpm mbona husemi maswala ya mfumuko wa bei, loliondo n.k.

Ni aibu kubwa na yakusikitisha chama kinachojiita ni chama kikuu cha upinzani kubaki kuongea watu badala ya hoja zenye mashiko kwenye umma wawa tanzania. wengi wetu tunajuwa chama hicho ni geresha tu kuwa ni upinzani kwani hakipo kwa ajiri ya mikakati ya kuchukua dola .
Wasaliti lazima waongelewe na ndio maana kwa Wakristo wa kweli kweli hawawezi mbatiza mtoto jina la Yuda maana lilishachafuka.
 
Freeman mbowe awe na akiba ya maneno nakumbumbuka yeye na viongozi wenzake wakina msigwa n.k walizunguka nchi nzima kwa kutoa tuhuma mbalimbali dhidi ya lowasa kuwa hafai kupewa hata uenyekiti wa mtaa kwa kuwa ni mwizi lakini cha ajabu na cha kushashangaza huyohuyo waliyesma hafai mbele ya umma ndiye akampa bendera ya chama kwa ajiri ya kugombea uraisi kama siyo vipande vya fedha nini kilipelekea yeye kufanya hivo huku tayari a!eshaaminisha umma kuwa ni mwizi na fisadi.tuhuma anazozitoa kwa silinde za kwamba alipewa vipande vya fedha na kumwabudu mtu badala ya mungu akafanya usaliti na je yeye tuseme kama tunavyoamini ccm ilimtumia kwa kupewa vipande vya fedha ili amchafue lowasa?

Mbowe acha kuchafua wenzako jikite kwenye maada zenye mashiko au ni kweli una lamba asali mbona mikutano yako ni yakusema watu na jpm mbona husemi maswala ya mfumuko wa bei, loliondo n.k.

Ni aibu kubwa na yakusikitisha chama kinachojiita ni chama kikuu cha upinzani kubaki kuongea watu badala ya hoja zenye mashiko kwenye umma wawa tanzania. wengi wetu tunajuwa chama hicho ni geresha tu kuwa ni upinzani kwani hakipo kwa ajiri ya mikakati ya kuchukua dola .
Tofauti kabisa yaani. Au una jingine

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Sasa mtu anaenda jimboni kwa mtu badala ya kutoa sera anaanza kumnanga mtu. Ndio maana Magu alisema wakae pembeni waache watu wafanye kazi, sio kila muda ni siasa tu.
Msaliti lazima asemwe tu na ndiyo maana Magu ni marehemu lakini mpaka leo anasemwa vibaya kuliko marais wote Tanzania.
 
Kama wamevunja katiba au sheria ya nchi wakamateni muwapeleke mahakamani, nyie mataga msitake kutuendeshea nchi kama familia ya baba mwenye ndoa za mitaala.
Sasa mtu anaenda jimboni kwa mtu badala ya kutoa sera anaanza kumnanga mtu. Ndio maana Magu alisema wakae pembeni waache watu wafanye kazi, sio kila muda ni siasa tu.
 
Freeman mbowe awe na akiba ya maneno nakumbumbuka yeye na viongozi wenzake wakina msigwa n.k walizunguka nchi nzima kwa kutoa tuhuma mbalimbali dhidi ya lowasa kuwa hafai kupewa hata uenyekiti wa mtaa kwa kuwa ni mwizi lakini cha ajabu na cha kushashangaza huyohuyo waliyesma hafai mbele ya umma ndiye akampa bendera ya chama kwa ajiri ya kugombea uraisi kama siyo vipande vya fedha nini kilipelekea yeye kufanya hivo huku tayari a!eshaaminisha umma kuwa ni mwizi na fisadi.tuhuma anazozitoa kwa silinde za kwamba alipewa vipande vya fedha na kumwabudu mtu badala ya mungu akafanya usaliti na je yeye tuseme kama tunavyoamini ccm ilimtumia kwa kupewa vipande vya fedha ili amchafue lowasa?

Mbowe acha kuchafua wenzako jikite kwenye maada zenye mashiko au ni kweli una lamba asali mbona mikutano yako ni yakusema watu na jpm mbona husemi maswala ya mfumuko wa bei, loliondo n.k.

Ni aibu kubwa na yakusikitisha chama kinachojiita ni chama kikuu cha upinzani kubaki kuongea watu badala ya hoja zenye mashiko kwenye umma wawa tanzania. wengi wetu tunajuwa chama hicho ni geresha tu kuwa ni upinzani kwani hakipo kwa ajiri ya mikakati ya kuchukua dola .
hapa unazungumzi auhuru wa mtu kujiung ana chama cha siasa anachokitaka. hapo miminionavyo wala hakuna usalitini matashi ya mtu kujiunga nachama kwake anachokiona kinamfaaa kuendesha harakjati zake. kuna muda lazima watu waheshimu haki za mtu kujiamulia kwa utashi kile anachokiona kinamfaa bila kuingiliwa na mwisho wa siku wataamua wananchi mbivu na mbichi kama silinde anawafaa ama wataona vinginevyo
 
Freeman mbowe awe na akiba ya maneno nakumbumbuka yeye na viongozi wenzake wakina msigwa n.k walizunguka nchi nzima kwa kutoa tuhuma mbalimbali dhidi ya lowasa kuwa hafai kupewa hata uenyekiti wa mtaa kwa kuwa ni mwizi lakini cha ajabu na cha kushashangaza huyohuyo waliyesma hafai mbele ya umma ndiye akampa bendera ya chama kwa ajiri ya kugombea uraisi kama siyo vipande vya fedha nini kilipelekea yeye kufanya hivo huku tayari a!eshaaminisha umma kuwa ni mwizi na fisadi.tuhuma anazozitoa kwa silinde za kwamba alipewa vipande vya fedha na kumwabudu mtu badala ya mungu akafanya usaliti na je yeye tuseme kama tunavyoamini ccm ilimtumia kwa kupewa vipande vya fedha ili amchafue lowasa?

Mbowe acha kuchafua wenzako jikite kwenye maada zenye mashiko au ni kweli una lamba asali mbona mikutano yako ni yakusema watu na jpm mbona husemi maswala ya mfumuko wa bei, loliondo n.k.

Ni aibu kubwa na yakusikitisha chama kinachojiita ni chama kikuu cha upinzani kubaki kuongea watu badala ya hoja zenye mashiko kwenye umma wawa tanzania. wengi wetu tunajuwa chama hicho ni geresha tu kuwa ni upinzani kwani hakipo kwa ajiri ya mikakati ya kuchukua dola .
Tumia akili we mtoto
Unadhani Lowassa alihongwa fedha kama Silinde
Mbowe ni brilliant tactisian uliona kumleta Lowassa Chadema ilipata wabunge wangapi?
 
Freeman mbowe awe na akiba ya maneno nakumbumbuka yeye na viongozi wenzake wakina msigwa n.k walizunguka nchi nzima kwa kutoa tuhuma mbalimbali dhidi ya lowasa kuwa hafai kupewa hata uenyekiti wa mtaa kwa kuwa ni mwizi lakini cha ajabu na cha kushashangaza huyohuyo waliyesma hafai mbele ya umma ndiye akampa bendera ya chama kwa ajiri ya kugombea uraisi kama siyo vipande vya fedha nini kilipelekea yeye kufanya hivo huku tayari a!eshaaminisha umma kuwa ni mwizi na fisadi.tuhuma anazozitoa kwa silinde za kwamba alipewa vipande vya fedha na kumwabudu mtu badala ya mungu akafanya usaliti na je yeye tuseme kama tunavyoamini ccm ilimtumia kwa kupewa vipande vya fedha ili amchafue lowasa?

Mbowe acha kuchafua wenzako jikite kwenye maada zenye mashiko au ni kweli una lamba asali mbona mikutano yako ni yakusema watu na jpm mbona husemi maswala ya mfumuko wa bei, loliondo n.k.

Ni aibu kubwa na yakusikitisha chama kinachojiita ni chama kikuu cha upinzani kubaki kuongea watu badala ya hoja zenye mashiko kwenye umma wawa tanzania. wengi wetu tunajuwa chama hicho ni geresha tu kuwa ni upinzani kwani hakipo kwa ajiri ya mikakati ya kuchukua dola .
Kati ya watu wajinga Tanzania ni wewe umeishi madarasani ukaondoka mtupu pole sana
 
Sukuma Gang mtachambia nyembe mwaka huu pumbavu kabisa
 
Back
Top Bottom