DKT. SAMIZI AENDELEA NA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA UJENZI WA VYOO, CHUMBA CHA KUJIFUNGULIA KINAMAMA N.K.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Florence George Samizi ameendelea na ziara...
Wanabodi nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kazi iendelee..
Kwanza nampongeza mh. raisi kwa maono marefu katika katika eneo la utumishi wa umma hasa kwenye kada ya elimu...
Umesahau wewe kama mtanzania ulishuhudia pesa nyingi za walipa kodi na Watanzania wanyonge zilikuwa zinaliwa na mafisadi wa CCM?
Ila kuna Kiongozi alikuja akawabana na hao mafisadi na akafanyiwa...
MBUNGE OLIVER SEMUGURUKA ARAHISISHA USAFIRI KUWAFIKIA WANACCM
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kagera CCM Mhe. Oliver Semunguruka ametoa Pikipiki 8 kwa Makatibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake...
Ni jambo jema
Nimeona Uteuzi wa Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Manaibu na Makatibu Wakuu
Ngoja niuhakiki mkeka kisha niutupie hapa
Kazi Iendelee
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amewaambia Wananchi wa Mbeya kuwa ana uwezo wa kumpigia simu Mh Rais Samia Suluhu Hassan hata usiku kumueleza changamoto za...
Rais Samia Suluhu Hassan amenukuliwa na magazeti mengi ya leo akitoa onyo la mwisho kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kutokana na usimamizi mbovu wa Wizara yake na kudaiwa huku fedha...
Hongereni na kazi Wakuu..
Tanzania imewekwa kwenye Grey List pamoja na Mataifa mengine 10 ikiwemo Uganda na Financial Action Task force (FATF) , taasisi ya Kimataifa inayofuatilia masuala ya...
Tangu waanze mikutano ya hadhara Chadema wamekuwa hawasikiki kuupiga Vita Ufisadi
Walau kidogo Tundu Lisu alizungumzia Mfumuko wa Bei lakini hawa Wengine ni full Chawa
Dominica njema!
Hakika sisi wana Mbeya tumefarijika sana kwa utawala wako mama Samia.
Tunajua kuwa bado una mambo mengi ya kuyarekebisha ikiwemo katiba na tume huru ya uchaguzi.
Leo hii sisi wana Mbeya tunatoa...
Mbivu na mbichi Sasa hadharani, kumbe hawa jamaa kulikuwa na mgao wa fedha waliopewa ili wawe wakimbizi!
Nilishangaa Lemma eti naye mkimbizi, pengine Lissu yeye bado mkataba wake wa kuwa mkimbizi...
Mdee amechaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Kamati Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), hili ni pigo kubwa mno kwa CHADEMA, walitamani mabaya yote yamfikie ila Mungu anazidi kumuinua...
Waku heri ya mwaka mpya.
Kwa upande wangu nimeuanza mwaka vizuri kabisa.
Lakini kuuanza mwaka pasipo kujua hali ya nguli huyu wa siasa za Tanzania hapana Kwa kweli.
Mwenye taarifa kuhusu hali...
Tangu wamepewa mamlaka ya mikutano umeona nini cha wananchi kujivunia.
waafrika tunamezeshwa mambo ya ajabu sana na wazungu nasi tunayachukua mazima mazima
Democracy was just a little chunt...
Ninavyowajua Watanzania wanapenda vitu vya bei rahisi Bila kuzingatia ubora
Hiyo michele iliyofichwa na Wakulima soon inaenda kuwadodea
Bashe ajipime kama anatosha!
Waswahili wanasema nyota njema huonekana asubuhi, hakika ni kweli kabisa.
Mkuu wa wilaya genius Nikki wa Pili, amemuwakilisha mkuu wa mkoa wa Pwani kwenye vikao ba waziri wa Tamisemi jijini...
Kile kikao kati ya Rais wa JMT Dr. JK na ule ujumbe wa CDM ukiongozwa na Mbowe kimekwisha ikulu ikiwa ni muendelezo wa mazungumzo yao yaliyo anza jana na kuendelea leo saa 4 asubuhi. Kuna baadhi...
Rais wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa 66 wa Mambo ya Nje wa Marekani Dk. Condoleezza Rice na mfanyabiashara Bill Gates leo Februari 24...
Sijui nini kinaendelea na nini kimewafanya Watanzania waichoke CCM chama tawala.
Ukitazama mikutano miwili moja ya Waziri Mkuu Majaliwa wa wiki iliyopita uliofanyika Mjini Tunduma na ule wa jana...
Wadau wa Maendeleo na wasomi wilayani Longido wamejipanga kuishtaki mahakamani Halmashauri ya Longido kwa ubadhirifu wa fedha za umma baada ya kubaini kwamba Mkurugenzi wa Halmashauri ,Stephen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.