Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema Mama ataendelea kununua Magoli ya Simba na Yanga kwenye match za kimataifa. Ina maa itakuwa ya kudumu hii, nadhani haijakaa sawa kimfumo wa...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki Huu ni uzandiki wa kisiasa. Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakuu , natanguliza salamu , na baada ya Salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja . Kwa mujibu wa Ratiba iliyotolewa na Chadema Kanda kabambe ya Nyasa ni kwamba leo 25/02/2023 kutavurumishwa...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe Shaka Hamdu Shaka akimshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa niaba ya Wananchi Wa Kilosa kwa kuwapatia daraja, BILIONI 7 ZA DKT SAMIA SULUHU HASSAN KUTUMIKA UJENZI WA...
3 Reactions
11 Replies
861 Views
Wanajf tufanye tathmini ya kisomi bila bias
0 Reactions
0 Replies
285 Views
Nauliza tu waungwana maana binadamu haishiwi lawama Kwa hali ya Tunduma kwa mfano ukiitishwa Uchaguzi wa mbunge leo matokeo yatakuwa yale yale ya 2020? Ngoja tuone Mbeya Mjini Pale Tunduma...
0 Reactions
1 Replies
399 Views
Habari zenu wana JF wenzangu, Ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo juu. Wana JF wenzangu, siku mbili tatu zilizopita tumeshuhudia lawama, kejeli na vijembe...
11 Reactions
49 Replies
3K Views
Kunradhi Chadema Ufipa st Kinondoni Shamba Dar es salaam kwa kuwashauri muahirishe mikutano ya hadhara hadi kipenzi cha Wananchi mh Tundu Lisu arudi Sikujua kama hata bila TAL moto ni Ule Ule...
10 Reactions
18 Replies
1K Views
Je, wale Maadui zake wapo au labda wameshakuwa Executed na waliopanga ile Mission dhidi yake? Je, ana uhakika kuwa hakuna Mabaki ya Maadui zake waliomfanyia Tukio baya Dodoma yamebaki na kwamba...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Hospitali ya wilaya ya Longido inatumia pesa kiasi cha billion 3 kujenga hilo jengo la wilaya. Unaweza kudhani kuwa ni uzushi kumbe ndio kweli, pesa zinaliwa kama wapinzani wa Magufuli...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Sophia Simba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii (ISW). Bi. Simba ni Mbunge Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
8 Reactions
164 Replies
13K Views
Zaidi ya watu 5 wamekufa ktk mapigano ya kugombea ardhi kati ya wananchi na mabaunsa wa kampuni ya udalali ya Mwangata huko Mivumoni Tegeta. RADIO1 STEREO
0 Reactions
270 Replies
37K Views
Shirika la nyumba za Taifa (NHC) limelenga kutumia zaidi ya Sh460 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 5,000 nchini, huku asilimia 50 ya nyumba hizo ikitegemewa kujengwa eneo la Tanganyika...
3 Reactions
39 Replies
6K Views
HUMPHREY POLEPOLE SI KUBEZA Na Thadei Ole Mushi. Huenda Polepole yupo sahihi lakini Madhara ya anachokisema ni makubwa mno. 1. Yeye kama Kiongozi ana Platform kubwa zaidi kuliko Mimi na wewe ya...
9 Reactions
69 Replies
7K Views
Katika uongozi wake wa muda mfupi akiwa Msajiri wa Hazina Ndg. B. Mgonya alifanikiwa kutatua kero na malalamiko ya muda mrefu yaliyowakumba wastaafu wa mashirika ya umma yaliyobinafsishwa...
0 Reactions
1 Replies
444 Views
Rostam Aziz amepewa pole na Rais wa Kenya kwa usumbufu alioupata kwa miaka 5 kutokana na urasimu wa Serikali Rais Ruto amesema kila Nyumba nchini mwake itakuwa na mtungi wa Gesi na ataondoa kodi...
6 Reactions
6 Replies
970 Views
Kachuo kake uchwara ka uongozi kamepotelea wapi sijui? Wahenga waliosema "Mbwa mwenye mnofu mdomoni hapigi kelele." Waliona mbali sana.
2 Reactions
7 Replies
565 Views
Tusidanyane! Vijana wote ambao hamko kwenye cheni ya ulaji na kupeana nafasi kwa Juana ndani ya ccm, bila kuiondoa ccm na kuikataa, wote mtakufa masikini na hamtafikia ndoto zenu abadani Hata...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Serikali Kupitia Rais imepambana sana kuhakikisha miradi mikubwa inafunguka kwa ajili ya kunufaisha Watanzania wote. kwanini Mataragio na Genge lako hapo TPDC mnakwamisha mradi wa Gesi asilia...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom