Katibu mKuu Kiongozi Luhanjo ni Gamba lingine la CCM Nape yuko wapi amtangaze?

STEIN

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
1,770
553
Nafikiri watanzania tumeona jinsi huyu Lihanjo alivyo gamba lingine ndani ya CCM, kwa jinsi bunge lilivyomtuhumu toka wizara ya Maliasili na utalii hadi sasa kwenye sakata la nishati na madini inatosha kabisa kuwa ushahidi kwa huyu mzee kujivua Gamba ndani ya CCM.

Nashangaa Nape yuko kimya sana mara baada ya Mkutano wa CC huko dodoma majuzi au tayari naye kashakuwa sehemu ya Gamba?

Ila nachojua waTZ wanaukweli ni nani anasema ukweli, we have to be serious
 
Kwa taarifa yako, alishastaafu. Sasa hivi ameitwa tena kupanga safiu za uongozi nchini. Katibu mkuu kiongozi ni chaguo lake, sasa kamsogeza Msechu kuwa msajili wa hazina. Hawa wote ni kutoka Njombe line, ukabila.
Kuna watu nchi hii wapo kuiharibu. tusidanganywe eti Samia ni kiongozi mzuri, ni wale wale wanaodekeza ukabila na undugu.
 
Back
Top Bottom