Samson Kwayu
Member
- Jun 9, 2022
- 18
- 90
Leo tumehitimisha rasmi mbio za urais Mwaka 2025, wote kwa pamoja tumempitisha Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea pekee wa kiti cha Urais.
Mwaka 2030 ni muda mwafaka wa Wakristo kuongoza nchi hii, tunao wakristo wengi sana, wanatutosha kabisa. Hatuna mpango wowote wa kukodi mtu toka dini nyingine kuja kutuongoza.
Hili nalo limeisha.
Kila Mtu aheshimu Dini aliyokuzwa na Kulelewa humo, Vitu vya kupita visiwafanye mkane Imani zenu.
Mtashugulikiwa kama alivyoshugulikiwa John Malecela.