Sijui mzee Lowassa alifikiriaje lakini alisema mambo mawili
1. Swala la Urais niachieni mimi na timu yangu wewe Mbowe na wenzako jikiteni Kwenye Ubunge
2. Tukishindwa kuitoa CCM madarakani mwaka...
Rais Samia Suluhu Hassan amejipambanua kuwa ni msikivu kwa watu anaowaongoza. Samia amerejesha uongozi shirikishi. Kwamba unapotaka kuwaletea maendeleo wananchi basi uwashirikishe Ili kujua nini...
Asalam,
Jana katika kumsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe nikaona ametoa tafsiri ambayo sikuwa naijua ya malengo ya vyama vya upinzania Tanzania. Kwa ufupi anasema LENGO KUU NI...
Namna watu walivyokuwa wakinufaika kutokana na migogoro kati ya serikali na Chama kikuu cha Upinzani.
➡️Kupata per diem ili kuendesha operesheni haramu dhidi ya watanzania wenzao
➡️Kwa kupachika...
Kwa tunaojua mbinu za siasa ni dhahiri kabisa ushindi wa Mama Samia umeshikiliwa na Block votes kubwa mbili yaani Uislam na Uwanawake basi. Kitendo Cha Mbowe kumkaribisha Mama Samia kwenye siku ya...
Nawasalimu ndugu Watanganyika,
Hiyo Leo 8-3-2023 zitapigwa picha na video za kuombea mikopo kuwa Rais TZ ana practice Fair Democracy kwa kufungua Mkutano wa Women Wing Council ya Chama Kikuu cha...
Nimeshangaa sana kundi la Sukuma Gang na mataga limekaa kusubiri siasa za maji taka, kwa ufupi wakati wenu Mataga na Sukuma Gang umekwisha, ukurasa wenu umefungwa rasmi, Rais Samia ataheshimiwa...
Chadema wana furaha, wana tabasamu usoni mwao, je nini wanafurahia!? Kula asali ni kuongea maneno ya busara, sasa Chadema wanaongea mambo ya busara na kutenda kwa busara, je wanakosea? Amani ndiyo...
Katika hotuba aliyoitoa Rais wetu hivi karibuni kule Chato, kuna mambo kadhaa ambayo yanatuonesha kwamba hali ya nchi kwa sasa ni tete:
1) Kwamba Rais yuko Chato kwa muda mrefu sasa
kwa kawaida...
Na Mwl Udadis, Tarime
Kwa mara ya kwanza katika historia ya vyama vingi nchini, Rais aliyepo madarakani atakuwa mgeni rasmi katika shughuli ya Baraza la Wanawake wa Chama cha Upinzani, Chama...
"Siasa Ina sura Nyingi, Vijana Tubadilike Tuwe Watu Wa Logic Tukashinde Mihemko Yetu." -ntigahela, Mwanaharakati Huru.
Vijana Tumekariri, Tunaendeshwa na Mihemko ya Kisiasa, Yaani Tunaamini Lugha...
Nikiwa naendelea subiri mzigo wangu Kariakoo, ngoja niwape nondo moja.
Je, upo tayari kupigania nchi yako kwa jasho na damu endapo kuna adui kaingia?
Je, unahani una sababu yeyote ya kupigania...
Nimesoma sehemu mbalimbali kwamba inasemekana mojawapo ya sehemu ya maridhiano ni wapinzani kuachiwa majimbo kadhaa ya uchaguzi.
Baada ya kutafakari sana kisha ku-connect dots na haya matusi ya...
Nimefurahi sana kusikia soon tutapata katiba mpya. Hii ina maanisha tutakuwa na katiba ambayo itatupa mamlaka wanananchi.
Kwa katiba hii kama itasikia maoni ya wananchi basi tutakuwa na katiba...
CHADEMA imechagua kusema ukweli bila kubembeleza mtu au kikundi cha watu, eti hawa ni waalimu tusiwachokoze watatunyima kura waacheni hawa bodaboda ni jeshi kubwa litatunyima kura.
Ukweli usemwe...
Waswahili tunasema chanda chema huvikwa pete, lakini pia nyota njema huonekana asubuhi.
Nchi zote zilizofikia hatua ya kupatikana katiba na Tume Huru za Uchaguzi katika nchi zao, zilipitia katika...
Tanzania tumejariwa utajiri wa rasilimali madini,gesi asilia na mafuta,utajiri huu ni kinyume na maisha halisi ya wananchi wa Tanzania, nje ya mipaka ya Tanzania kuna soko kubwa la bidhaa mbali...
Vyenga vya leo vinatosha kabisa kuona kuna mmoja katika maridhiano haya yanampa faida kuubwa sana hasa huko tuendako, na kuna yule ambaye anafurahia vinono vya muda mfupi!
Maridhiano kwa nchi...
Nimeipenda sana hii kauli
Siasa ni mchezo wa Kuzidiana Mawazo na Akili lakini Tukiwa tunaenda pamoja
Huwa nasema siku zote hapa JF kwamba Siasa Siyo Uadui
Leo nashukuru mh Rais Samia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.