Karatu: Mkutano Mkubwa wa hadhara wafana, Umati Mkubwa Wajitokeza

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,815
218,476
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo 5/3/2023, muda huu kinaungurumisha Mkutano wa hadhara huko Karatu, Vijana Wapambanaji ndio wanakinukisha Jukwaani wakisaidiwa na Wakongwe wachache

FB_IMG_1678022309256.jpg

Hali ya viwanja ndio iko kama hivi

FB_IMG_1678022282772.jpg
FB_IMG_1678022288791.jpg

Bila Polisi CCM ni wepesi kuliko pamba
 
1678025352719.png

Baadhi ya mavazi hayaakisi shughuli ya mkutano kabisa, yana agenda ya utayari kuelekea usiku wa manane
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo , leo 5/3/2023 , muda huu kinaungurumisha Mkutano wa hadhara huko Karatu , Vijana Wapambanaji ndio wanakinukisha Jukwaani wakisaidiwa na Wakongwe wachache

View attachment 2538144

Hali ya viwanja ndio iko kama hivi

View attachment 2538148View attachment 2538151

Bila Polisi CCM ni wepesi kuliko pamba
Brother, usidanganye watu, nilikuwepo hapo.. watu walikua wanahesabika, sema ukipiga picha lazima idanganye watu lakini hamna lolote la maana pale lililo tokea, kwanza Karatu ni ngome ya upinzani miaka na miaka lakini ofisi yao ni kama kibanda cha M Pesa na kwa miaka yote hiyo ni mwaka jana ndo kimejengwa hicho kibanda
 
Tuwekee picha ulizopiga wewe sasa ili Chadema iumbuke
 
Back
Top Bottom