Mfumo wa CCM ya Hayati Magufuli wa kuunga Juhudi na huu wa sasa wa Maridhiano upi utatupatia maendeleo kwa haraka?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,963
141,963
Kuunga Juhudi Ilikuwa Wapinzani hasa kutoka CHADEMA wanajisajili kwa komredi Polepole na kuhamishiwa CCM ambako walipewa Vyeo na zawadi nyingine.

Maridhiano ndio kama Mbowe, Zitto Kabwe, Tundu Lissu na Hamad Rashid wanakula Mema ya nchi bila kuhama Vyama vyao.

Unadhani mfumo upi utatupatia maendeleo kwa haraka katika kutekeleza Ilani ya CCM kwa pamoja?
 
Maendeleo yanakuja pale ambapo panakuwepo na maelewano, watu kufanya kazi kwa pamoja, sio kuuana, kutekana, na kubambikiana kesi.
Kwahiyo miaka 64 ya sisiemu hapakuwa na maelewano au watu hawakufanya kazi?? Kuna muda nyie akina denoo,mmawia , Retired inabidi mnyamaze huenda ikawa busara ,,
Sisi wananchi tutaendelea kujipambania wenyewe TU😂
 
🤩😂😃
 
Mkuu samahani lakini!
Naomba unijibu hii!

Ni miaka mitano tu nadhani ambayo unaiongelea ambayo haikuwa na maelewano na kufanya kazi kwa umoja, muuwaji n.k kama ulivyodai!

Kipindi cha miaka zaidi 50+ ya utawala wa ccm na ambao nadhani hapakuwepo na hicho ulichokiita cha kutokuelewana, Je, nchi ilifanikiwa kwa kiasi gani katika hatua ya kimaendeleo? Na ama tulinufaika nini hasa kushinda kipindi ulichokilaani
 
Watu weusi hatuna akili, hatuwezi kupata maendeleo makubwa mpaka pale tutakapo pata akili kwanza.

Kwa nini wazungu na waarabu walileta dini [ Uislam na Ukristo ]na kuzikazania sana kuliko elimu ili mtu mweusi aelimike aachane na ujinga ?
 
Kuunga Juhudi Ilikuwa Wapinzani hasa kutoka CHADEMA wanajisajili kwa komredi Polepole na kuhamishiwa CCM ambako walipewa Vyeo na zawadi nyingine.

Maridhiano ndio kama Mbowe, Zitto Kabwe, Tundu Lissu na Hamad Rashid wanakula Mema ya nchi bila kuhama Vyama vyao.

Unadhani mfumo upi utatupatia maendeleo kwa haraka katika kutekeleza Ilani ya CCM kwa pamoja?

Mfumo wako na familia yako ndo unakuletea maendeleo ya haraka.
 
Kuunga Juhudi Ilikuwa Wapinzani hasa kutoka CHADEMA wanajisajili kwa komredi Polepole na kuhamishiwa CCM ambako walipewa Vyeo na zawadi nyingine.

Maridhiano ndio kama Mbowe, Zitto Kabwe, Tundu Lissu na Hamad Rashid wanakula Mema ya nchi bila kuhama Vyama vyao.

Unadhani mfumo upi utatupatia maendeleo kwa haraka katika kutekeleza Ilani ya CCM kwa pamoja?
Kwani wewe kwa AKILI ZAKO unaweza kupata Maendeleo kwa kutumia Fedha za Maendekeo KUNUNUA WAPINZANI ili ionekane Wameunga Mkono Juhudi?MAGUFULI hakuna na lengo la Maendeleo bali KUIUA CHADEMA lakini kwa Bahati Mbaya AKAFA yeye.
 
Kuunga Juhudi Ilikuwa Wapinzani hasa kutoka CHADEMA wanajisajili kwa komredi Polepole na kuhamishiwa CCM ambako walipewa Vyeo na zawadi nyingine.

Maridhiano ndio kama Mbowe, Zitto Kabwe, Tundu Lissu na Hamad Rashid wanakula Mema ya nchi bila kuhama Vyama vyao.

Unadhani mfumo upi utatupatia maendeleo kwa haraka katika kutekeleza Ilani ya CCM kwa pamoja?
Huu wa sasa hakuna maendeleo ila wanasiasa wanafurahishana wenyewe kwa wenyewe bila kujali madhila wanayopitia wananchi wa kawaida.
 
Kuunga Juhudi Ilikuwa Wapinzani hasa kutoka CHADEMA wanajisajili kwa komredi Polepole na kuhamishiwa CCM ambako walipewa Vyeo na zawadi nyingine.

Maridhiano ndio kama Mbowe, Zitto Kabwe, Tundu Lissu na Hamad Rashid wanakula Mema ya nchi bila kuhama Vyama vyao.

Unadhani mfumo upi utatupatia maendeleo kwa haraka katika kutekeleza Ilani ya CCM kwa pamoja?
Kuna watu walifaidi udikteta wa Magufuli sana! Huwezi kuwaambia watu kama akina Makonda, Sabaya na wengine jambo hasi la Magufuli. Wapo wengi sana ambao kufa kwa Magufuli kuliwaharibia maisha yao yote, wengi walizimia au ni wagonjwa sasa. Ubinafsi mmbaya sana.
 
Kuunga Juhudi Ilikuwa Wapinzani hasa kutoka CHADEMA wanajisajili kwa komredi Polepole na kuhamishiwa CCM ambako walipewa Vyeo na zawadi nyingine.

Maridhiano ndio kama Mbowe, Zitto Kabwe, Tundu Lissu na Hamad Rashid wanakula Mema ya nchi bila kuhama Vyama vyao.

Unadhani mfumo upi utatupatia maendeleo kwa haraka katika kutekeleza Ilani ya CCM kwa pamoja?
Mjamaa ni mnafiki na mpumbavu sana. Usifananishe mfumo wa kijinga na mifumo yenye akili

Kwanza waliounga juhudi kuna kitu gani wameleta katika taifa?

Maridhino ndio mpango na ndio njia ya m/mingu. Hauoni nchi imetulia na wananchi wanafuraha?
 
Kwahiyo miaka 64 ya sisiemu hapakuwa na maelewano au watu hawakufanya kazi?? Kuna muda nyie akina denoo,mmawia , Retired inabidi mnyamaze huenda ikawa busara ,,
Sisi wananchi tutaendelea kujipambania wenyewe TU😂
mkiambiwa muandamane unapoporwa uchaguz mnasema mbowe atangulie na familia yake mkome kabisa pambanneni na familia zenu mpaka akili iwakae sawa.
 
Back
Top Bottom