Media za kimataifa zatua Moshi kuripoti Kongamano la BAWACHA

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,025
Media mbalimbali za kimataifa zipo mjini Moshi kuripoti Kongamano la BAWACHA ambalo mgeni rasmi atakuwa mh Rais Samia

Miongoni mwa media Hizo ni RT, DW, BBC, Sky news, Citizen tv nk

Kongamano hili linavutia kwa sababu Chadema ni chama pekee Kikuu cha Upinzani Duniani ambacho Uwakilishi wake Bungeni ni wa Wanawake watupu

Lakini ni chama ambacho nafasi zote za juu za uongozi ndani ya chama zimekaliwa na Wanaume

Karibuni Moshi mjini
 
Hapo umezidisha chumvi Jo,mbona Husemi chama kilichowahi kuwa na wabunge kadiri ya mia katika bunge,na chama tawala kutarajiwa🤔
 
Media mbalimbali za kimataifa zipo mjini Moshi kuripoti Kongamano la BAWACHA ambalo mgeni rasmi atakuwa mh Rais Samia....
Nikimuona Samia akiwamwagia sifa za kijinga kina lema nitaanza kutafakari kuhusu uanachama wangu kwenye nambari wani eeeeh😪
 
Halima atakuwepo? Je Bulaya?
Kuna tetesi wanaenda kuvamia kongamano ili waingie kwa madai kwamba madhali ni wabunge halali basi ni wanachama halali, hivyo hakuna Polisi atayewazuia maana mgeni rasmi (ambaye ndiye afande no.1 wa Polisi hao) anatambuwa uhalali wa ubunge na uanachama wao, mahakama inawatambuwa, bunge linawatambua, msajili wa vyama vya siasa anawatambua.

Baghosha!

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Media mbalimbali za kimataifa zipo mjini Moshi kuripoti Kongamano la BAWACHA ambalo mgeni rasmi atakuwa mh Rais Samia

Miongoni mwa media Hizo ni RT, DW, BBC, Sky news, Citizen tv nk

Kongamano hili linavutia kwa sababu Chadema ni chama pekee Kikuu cha Upinzani Duniani ambacho Uwakilishi wake Bungeni ni wa Wanawake watupu

Lakini ni chama ambacho nafasi zote za juu za uongozi ndani ya chama zimekaliwa na Wanaume

Karibuni Moshi mjini
umesahau pia kua chama hicho cha DEMOKRASIA kina mwenyekiti mmoja kwa miaka 20 sasa na wanachama wake hawana 'ndoto' za kushika nafasi ya wenyekiti
 
Kina mdee watakuwepo ni moja ya maridhiano anayoyapigia upatu mbowe et al
Nalo neno!

Mbowe anaposisitiza maridhiano na CCM lazima kumbe pia afanye maridhiano na Mdee et al maana Mdee et al ni wanachama wa vyama viwili CDMCCM (CHADEMACCM). Ili Mbowe afanikiwe kuridhiana na SSH lazima akubali kuwatambua (kuwarejeshea uanachama) akina Mdee ili SSH apate wabunge wapinzani ndani ya bunge ili nchi isiende kwenye uchaguzi mapema ya 2025 lakini pia ili Joe Biden asiendelee kuvuvuzela masikio ya SSH kwamba kwanini nchi ni ya vyama vingi lakini bunge ni Unicameral.

Asitudanganye mtu hata kwenye Political Science kuna hesabu pia (Quantitative Technics, Probability, Statistics)

Mbowe anavuta toka kwa akina C-19 monrhly.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom