Misimamo ya wafia vyama wa CCM na CHADEMA ipoje kwa haya mazungumzo yanayoendelea?

Apr 7, 2019
8
14
Kwa muda mrefu sasa tangu vikao vya viongozi wakuu wa CCM na CHADEMA wameanza mazungumzo ambayo leo yamezaa matunda ya angalau Viongozi Wakuu wa Upinzani na Viongozi Wakuu wa CCM kukutana kwenye hafla ya CHADEMA.

Pamoja na yote tunasikia minong'ono ya wafia vyama yaani wahafiidhina wa CCM na CHADEMA wengi wao wakiwa hawajitokezi hadharani lakini wanalalamika chini kwa chini kunyooshea kidole mazungumzo yanayoendelea yakichagizwa na tukio la leo la Mhe Rais kuhudhulia tukio la upinzani. Nini maoni yetu juu ya umoja huu
 
Back
Top Bottom