Kuna watu wanaonesha kama vile maridhiano kati ya CHADEMA na CCM yaliyoasisiwa na Freeman Mbowe, na Samia Suluhu Hassan, ni upendeleo kwa CHADEMA na CHADEMA ni lazima washukuru kwa kuonewa huruma...
Kitu pekee ambacho kinatambulisha mwelekeo wa Nchi kimaendeleo ni aina ya viongozi wanaongoza na aina ya wanasiasa waliopo.
Nchi ambayo viongozi wake wanaongozwa Kwa mashinikizo ya organization...
Sote tunajua lengo kuu la Chama Cha Siasa ni kushika Dola.
Duniani kote vyama vinavyotarajia kushika dola huwa vinakuwa na ajenda, mipango na ratiba jinsi zitakavyo kwenda kushika dola.
Chama...
MJEMA ASISITIZA ELIMU YA KUTUNZA MAZINGIRA KWA WANANCHI ILI KUKWEPA JANGWA, UKAME NA MMOMONYOKO WA ARDHI.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Sophia Edward Mjema ameitaka Serikali kupitia...
Hili ni swali ambalo wananchi wanajiuliza ingawa sio kwa maneno hayo au muktasari kama lilivyo hapo juu. Wananchi wanajiuliza swali kwa maneno kama: je katiba mpya itaniletea chakula au itaondoa...
Godbless Lema hakueleweka na watu kwa kauli yake kuwa kazi ya bodaboda ni laana. Lakini ukiangalia takwimu kutoka taasisi ya mifupa Muhimbili utagundua Lema ana point. Hapo ni Muhimbili tu, nchi...
It was 2015 katika uchaguzi Mkuu by that time nilikuwa chuo nilirudi nyumbani kwetu mkoa wa kagera Jimbo X
Niliweka Nia ya kugombea ubunge Sasa Katika ya safari Viongozi wa CHADEMA waliniomba...
Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu.
Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu...
Serikali ya CCM imeshazoea sasa Utamaduni wa kufanya jambo na kufikiria baadae, au kufanya jambo bila kupima faida na hasara zake kwa muda ujao.
Hili suala la Bajaji na Bodaboda sawa ni shortcut...
Kuna watu, nadhani ni kwa kukosa maarifa na uwezo wa kusoma mazingira, wanamlaumu Mbowe kwa nini amefikia hatua ya kuwa karibu na Serikali, na zaidi kuwa na maelewano ya karibu na Mh. Rais Samia...
Tarehe 6 Disemba mwaka 2007 Helikopta ya Jeshi la Wananchi ilianguka kwenye ziwa Natron huku na kujeruhi watu kadhaa wakiwemo wale ambao walidaiwa kuwa ni "Wageni wa serikali" ambao walikuwa na...
1. Yaani hapo kuna mbwa na chatu.
2. Chatu amemmeza mbwa.
3. Miguu ya mbwa imetoboa tumbo la chatu.
4. Mbwa anatembea huku amemezwa.
5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa...
Miongoni mwa sababu ambazo watu wanadhani zilinfanya magufuli aingie Ikulu
Kutokana na watu wengi kila mmoja kujiuliza hasa nisababu zipi aliambiwa pasco wa jamiiforums mwaka 2014 kuwa lazima...
NW MAJI ENG. MARYPRISCA MAHUNDI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA - SONGEA KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA 145 BILLIONI
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Eng. Maryprisca Mahundi (Mb) tarehe 10 Machi, 2023...
Kasumba ya Wengi wetu ni kwenda na upepo tu wa jambo flani livumalo kwa wakati huo sio mbaya sana tatizo linakuja pale ambapo jambo linalokua linasemwa huna uelewa nalo yaani ukiulizwa kiundani...
Habari Wakuu
Serikali imesema imekamilisha majadiliano na wawekezaji wa mradi wa usindikaji wa gas asilia LPG wa Lindi wenye thamani ya shilingi Til.70 za Tanzania.
Waziri wa Nishati January...
Wengi tumesikia na kusoma taarifa za Dada Jane Nyamsenda Kuondolewa kwenye Cheo cha Ukuu wa Wilaya, Taarifa hiyo imetolewa na Ikulu ambayo ndio Mamlaka yake ya Uteuzi, na baadaye tukaridhika tu...
Inafahamika kuwa maadui zetu ni walamba asali pekee. Hao ndiyo walio wanufaika wa hali iliyopo.
Wengine wakiwamo chawa na hata waliowahi kuwa chawa au kuwa walamba asali, wote ni wahanga tu...
Mama Samia kwa jinsi alivyo fair na mwenye huruma, hapendi wizi wa kura, kubeba Wabunge/Madiwani wa CCM, kuleta vitisho na mambo ya kuficha, kutesa ama kupoteza watu hasa wanaharakati.
2025 kila...
#SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA CCM.*
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na kada mashuhuri wa...