Huyu Mbunge wa CHADEMA niliyemuingiza Bungeni mwisho akajiona Mjanja Fahamu 2025 sio mbali

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,904
45,314
It was 2015 katika uchaguzi Mkuu by that time nilikuwa chuo nilirudi nyumbani kwetu mkoa wa kagera Jimbo X

Niliweka Nia ya kugombea ubunge Sasa Katika ya safari Viongozi wa CHADEMA waliniomba nimwachie Jimbo ili Mimi nigombee 2020 na kweli nilimuachia. Mimi Kama master planner wa siasa tulimpambania Hadi Bungeni kwa gharama zetu kubwa.

Baada ya kupata ubunge tulipanga kuanzisha mradi wa Kilimo Cha Umwagiliaji ili kutoa Ajira kwa vijana. Cha Ajabu huyu Mh alikataa kuchangia chochote katika hiyo project na kukimbilia mjini Daslama a kujenga ghorofa so nimwambie tu 2025 nimesikia unataka kugombea kupitia CUF huwezi kutoboa.

Uongozi wa CHADEMA 2025 wekeni umakini Kuna wabunge uchwara wengi waliingia Bungeni 2015 na Hakuna walichowafanyia wananchi . Zaidi ya kununuliwa Kama pipi
 
Back
Top Bottom