Kasumba ya Wengi wetu ni kwenda na upepo tu wa jambo flani livumalo kwa wakati huo sio mbaya sana tatizo linakuja pale ambapo jambo linalokua linasemwa huna uelewa nalo yaani ukiulizwa kiundani unakua huna majibu ! Nivyema ukakaa kimya kuliko kwenda na ndiyo au hapana I mean tuache kushadadia vitu ambavyo hatuna taaluma navyo .
Mijadala ya uchumi vyema wenye taaluma ya uchumi wakahusika kujadili , Elimu hivyo hivyo , Afya watalamu wa afya wajadili ndiyo maana Kila mtanzania ni kocha wa Soccer , Masumbwi ujuaji mwingi .
Mfano kwenye Uchumi unahitajika ueledi mkubwa sana kuzungumzia uwe na taaluma hasa ya uchumi ! Ndiyo maana hukuti viongozi wakubwa hata wa upinzani wenye akili timamu na elimu ya Uchumi wakimsema Waziri wa Fedha Mh Mwigulu Nchemba Sababu wana elewa deep down kazi anayofanya .
Mfano wapili ni Elimu Kina profesa Mkenda kina Dk Charles Msonde ndio wabobevu huko na hawaongelewi sana maana hivi ni vitu vilihusisha hata wengi wetu kufanya mtihani na aidha ulifaulu ama ulifeli hivyo uongelewaji wake unakua sio mkubwa sana hasa katika kukosoa .
My take ni bora kabisa kukaa kimya kwenye jambo usilo na uelewa nalo ndio maana mpaka kilimo kinahitaji shule japo shamba unalo nyumbani kwako hapo watu wanasomea pia kuna kufaulu na kufeli ! Good morning .