Najiuliza tu kwa sababu Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe ni Boss mwenza wa Shirikisho la Vyama vya Demokrasia Duniani lenye ofisi zake Marekani.
Sasa iwapo huyu mama Makamu wa Biden ambaye...
Nimechunguza kidogo kuhusu jambo hili na kiukweli nimethibitisha .
Wale wote waliojaribu kuhujumu Chadema Kwa sababu ya Madaraka , fitna , usaliti , uchawi au kwa lolote lile wengi wamekufa na...
MHANDISI FATMA REMBO ACHANGIA MILIONI 2 UWT MUFINDI NA KUAHIDI KUTOA PIKIPIKI KWA UWT WILAYA ZOTE MKOA IRINGA.
Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa Ndugu Fatma Rembo mnamo tarehe 11 Machi, 2023...
KABURI LA MAGUFULI KULE CHATO BADO LINATISHA
Agenda ya Upinzani kwa sasa ni Kulishambulia Kaburi la JPM na JPM mwenyewe. Toka wameruhusiwa kufanya mikutano ya Hadhara wameshindwa kuleta hoja...
Wadau niende kwenye mada. Naomba nisaidiwe kujua CV ya Kulwa Biteko ili nimfahamu vizuri huyu mbunge wangu wa Busanda ajae kwa kasi
Dotto na Kulwa Biteko
Nasema na wanasiasa na wanaojiita wanaharakati tuna jambo kubwa sana kwa wakati huu kama nchi kukosekana kwa mvua ya kutosha ambayo tunategemea kwenye kilimo ukiwemo na umeme
Hoja yangu ni hii...
Kuwa na Ofisi ni sehemu ya utambulisho wa mahali taasisi fulani inapatikana. Lakini kuwa na Ofisi hakuhusiani na uimara wa taasisi husika. Makampuni yanayofilisika au taasisi zinazoshindwa...
CCM kimekuwa chama chenye milengo mbalimbali (rangi nyingi), na kwa maoni yangu hii ni sababu mojawapo inayofanya vyama vya upinzani wapate taabu sana kukikabiri barabara chama hiki na kukiondoa...
Ndugu wadanganyika wenzangu,
Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA ya mwaka 2015 pamoja na mambo mengine, ilikuwa na mambo yafuatayo;
1. Kujenga reli mpya na kukarabati zilizopo kwa viwango vya kisasa...
WanaJf,
Salaam!
Haya ni maneno ya viongozi wa juu wa Chama cha Chadema:-
(a). Tundu Lissu - Tanzania ni nchi pekee duniani yenye watu waoga na wajinga. Aliongeza kuwa "nilitegemea kuona vijana...
Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu muundo na majukumu ya Wizara hiyo kwa mujibu wa ratiba na vikao vya...
Profesa Ibrahim Hamis Juma anastaafu mwaka huu, 2023. Jaji Mkuu alipata mamlaka hayo kipindi cha awamu ya tano, na kimsingi, ilikuwa ni mahala pa yeye kutenda alichohubiri madarasani kwa maisha...
Ameyasema leo akihojiwa na Ngasa TV leo Dodoma akiwa njiani kuelekea nyumbani kwao Ikungi, Singida..
Akizungumzia utawala wa Rais Samia Suluhu, amesema moja ya mambo yaliyobadilika kidogo baada...
Hello!
Naona Lema ameanza kwa gia ya matusi kwa wanaojiita bodaboda. Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana.
Hivi hizi si ni dharau kwa vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia...
Ilianzia hapa!
[emoji116]
Kisha ikafuatia hapa!
[emoji116]
Kisha sikiliza hoja ya Mpina!
[emoji116]
Kwa sababu,nchi hii watu wakweli ndio wanawindwa kuliko majambazi na Mafisadi!
Ameamua kwa...
April 2014 kwenye bunge la katiba, Tundu Lissu alitoa mashambulizi makali sana kwa baba wa taifa Mwl Nyerere. Moja ya mashambulizi hayo ni madai kuwa mwalimu alizoea vya kunyonga, hivyo...
Asalaam Aleykum wana JF.
Nawapenda sana. Nadondoka kwenye mada moja kwa moja.
Kulingana na utafiti mfupi nilioufanya, nimegundua kwamba Hotuba na ziara za Hayati JPM zilikuwa zinafuatiliwa na...
Jana mawakili wa Sabaya na wenzake watano wameweka pingamizi la awali katika kesi ya rufaa waliyofunguliwa na Serikali.
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na...
Ndugu zangu Watanzania,
Kamati kuu ya chama chochote kile ndio chombo Cha juu kabisa Cha kimaamuzi, ndio Taswira ya chama husika,Ndio Nembo ya chama,,Ndicho kitoacho muelekeo na misimamo yake...
Watu wenye Akili tunajua kuwa siasa za Tanzania ni ubabaishaji mtupu.
Miaka 60 hamna Jambo la maana mmefanya zaidi ya wizi wa rasilimali zetu.
Kila siku mnabatiza watu majina mara wanyonge bla...