Freeman Mbowe mwana CCM aliyejivika UCHADEMA

Dec 15, 2022
11
68
Kwa nyakati tofauti Kiongozi wa Upinzani Tanzania alikuwa akiongoza mapambano yakimkakati katika kulikomboa Taifa, kiongozi alionesha nia ya dhati kupiga vita Ufisadi, Matumizi Mabaya ya Serikali, Uwajibikaji maofisini na mengine mengi.

Baada ya tuhuma za Ugaidi sio kwakushinda kesi bali kwa msamaha maalum, kiongozi huyu amebadili dhamira ya kulikomboa Taifa sasa wameungana pamoja kuisimanga Serikali iliyopita wakijiapiza kwa kauli ya ''Never, never and never again.''

Kwa sasa vita sio ufisadi wala ukosefu wa ajira au labda matumizi mabaya ya fedha, vita imegeuka kwa Hayati Magufuli.

CCM ni vibaka, ukaribu nao unahalalisha na wewe ni kibaka vilevile. Comeback Mbowe.
 
Sukuma gang mtaimba lugha zote lakinwisho wenu ni 2025 baada ya hapo sukuma gang wote tutawasaka tuwacastrate.
 
Kwa nyakati tofauti Kiongozi wa Upinzani Tanzania alikuwa akiongoza mapambano yakimkakati katika kulikomboa Taifa, kiongozi alionesha nia ya dhati kupiga vita Ufisadi, Matumizi Mabaya ya Serikali, Uwajibikaji maofisini na mengine mengi.

Baada ya tuhuma za Ugaidi sio kwakushinda kesi bali kwa msamaha maalum, kiongozi huyu amebadili dhamira ya kulikomboa Taifa sasa wameungana pamoja kuisimanga Serikali iliyopita wakijiapiza kwa kauli ya ''Never, never and never again.''

Kwa sasa vita sio ufisadi wala ukosefu wa ajira au labda matumizi mabaya ya fedha, vita imegeuka kwa Hayati Magufuli.

CCM ni vibaka, ukaribu nao unahalalisha na wewe ni kibaka vilevile. Comeback Mbowe.
sasa amegeuka kuwa Mwana CCM tena?
 
sasa what is the issue here? Kwanini tuna akili fupi kiasi hiki?
wenye akili fupi wewe na nani? Wewe kwani umeuliza nini huko juu? Kama kwa akili yako fupi huoni issue hapo mimi nikikuambia ndio utaiona?
 
Kwa nyakati tofauti Kiongozi wa Upinzani Tanzania alikuwa akiongoza mapambano yakimkakati katika kulikomboa Taifa, kiongozi alionesha nia ya dhati kupiga vita Ufisadi, Matumizi Mabaya ya Serikali, Uwajibikaji maofisini na mengine mengi.

Baada ya tuhuma za Ugaidi sio kwakushinda kesi bali kwa msamaha maalum, kiongozi huyu amebadili dhamira ya kulikomboa Taifa sasa wameungana pamoja kuisimanga Serikali iliyopita wakijiapiza kwa kauli ya ''Never, never and never again.''

Kwa sasa vita sio ufisadi wala ukosefu wa ajira au labda matumizi mabaya ya fedha, vita imegeuka kwa Hayati Magufuli.

CCM ni vibaka, ukaribu nao unahalalisha na wewe ni kibaka vilevile. Comeback Mbowe.
Kwa jinsi hii utaipata TAABU sana. Mwezi huu mtahangaika mno!!
 
Acha kuwa na mawazo mgando kwaiyo wewe ulikua unatamani vyama vya upinzani viendelee kuwa na uadui kama kipindi kile cha mwenda zake ulitamani kuendelea kusikia matukio yanayotekelezwa na watu wasiojulikana? Hii amani tuliyonayo wewe unaona haina maana?

Kwa watanzania tuliowengi tunampongeza Rais Samia Suluhu kwa kufanya maridhiano na kuondoa migogoro ya kisiasa kwaiyo tunamshuru sasa Tanzania ni salama na Samia
 
Hakuna kitu kinawauma wafuasi wa mzee wa 'maendereo hayana vyama' kama hii ya Rais Samia kuziacha njia za chuki na kibaguzi za Mwendazake.

Kwakuwa wafuasi hao wa mwendazake wanamchukia sana Rais Samia, walitamani sana kuwaona akina Mbowe wakimtukana na kumsema kila mara. Walitamani sana kuona ule upinzani wa maandamano nchi nzima kila siku. Hii ya CHADEMA kumpongeza Rais Samia kwa baadhi ya mambo na hata kukaa nae meza moja, inawauma sana.

Kama mnamchukia Rais Samia na hampendi aina yake ya uongozi, pambaneni naye wenyewe. Kipindi mzee wenu anakimbizana na kina Mbowe na kuwawinda kama Nguruwe pori, hamkulia nao wala hamkuumizwa na unyama waliofanyiwa. Acheni hata wakilamba asali walambe.
 
wenye akili fupi wewe na nani? Wewe kwani umeuliza nini huko juu? Kama kwa akili yako fupi huoni issue hapo mimi nikikuambia ndio utaiona?
Nyie ni wapumbavu, na bahati mbaya sibishani na wapumbavu, samahani
 
Back
Top Bottom