Nikki wa Pili ashambuliwa baada ya kuwalaumu CNN na BBC kwa kumuonesha Tundu Lissu

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,318
4,089
Kuna post ya Maria Sarungi inayozungumzia kutangazwa kwa habari za convicted rapists (Babu seya na mwanae) kusamehewa na habari ya Tundu Lissu.

Sasa Nikki wa Pili kadakia na kuanza kulaumu media kama CNN na BBC zinavyochochea machafuko na kuhamasisha unyonyaji. Mashambulizi anayopata huko si salama kwake.

Watu wanampiga kwa fact mpka anakosa cha kujibu na kuishia kuwaambia wajenge hoja wakati hoja zimejengwa akawa ana wayawaya tu.
 
Sasa si ulete screenshots za wanavyomshambulia mkuu, wengine hatuna account twitter!.
 
Back
Top Bottom