2020 nilishangaa kwanini Wamachinga wa Iringa walimpigia kura Jesca badala ya mchungaji Msigwa, sasa Wanavuna walichopanda!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,832
141,750
Nianze kwa kusema RIP Gervas Kalolo

Hapo Mashine 3 ambapo Wamachinga wamebomolewa vibanda vyao Manispaa ya Iringa ndio nyumbani kwao Kamanda Gervas Kalolo RIP wa Chadema

2020 nilishangaa sana kuwaona Wamachinga wanamsikiliza Kasesela na Hapi na kumtosa Mchungaji Msigwa kwenye Ubunge na kumchagua Jesca

Niliwahurumia sana nikasema Mungu wasamehe hawa Wamachinga kwa sababu hawajui Walitendalo

Mlale Unono!
 
......ungeweka picha tungeweza kuona huo uvunjifu coz mashine tatu ile barabara toka stendi kuu ya zamani hadi mshindo watu huwa wanapanga bidhaa barabara chini na kwenye vimeza...ila msigwa na chadema waakijipanga vizuri Iringa mjini wananairudisha 2025.......
 
Nianze kwa kusema RIP Gervas Kalolo

Hapo Mashine 3 ambapo Wamachinga wamebomolewa vibanda vyao Manispaa ya Iringa ndio nyumbani kwao Kamanda Gervas Kalolo RIP wa Chadema

2020 nilishangaa sana kuwaona Wamachinga wanamsikiliza Kasesela na Hapi na kumtosa Mchungaji Msigwa kwenye Ubunge na kumchagua Jesca

Niliwahurumia sana nikasema Mungu wasamehe hawa Wamachinga kwa sababu hawajui Walitendalo

Mlale Unono!
Iringa na shirki ni kama maji na samaki
 
Hivi ule ulikuwa uchaguzi au uchafuzi ?.Hakuna mbunge yeyote wa CCM aliyeshinda kwa kupigiwa kura wote walipata ubunge kwa kutumia mabavu ya vyombo vya dora .
 
Nianze kwa kusema RIP Gervas Kalolo

Hapo Mashine 3 ambapo Wamachinga wamebomolewa vibanda vyao Manispaa ya Iringa ndio nyumbani kwao Kamanda Gervas Kalolo RIP wa Chadema

2020 nilishangaa sana kuwaona Wamachinga wanamsikiliza Kasesela na Hapi na kumtosa Mchungaji Msigwa kwenye Ubunge na kumchagua Jesca

Niliwahurumia sana nikasema Mungu wasamehe hawa Wamachinga kwa sababu hawajui Walitendalo

Mlale Unono!
Usipotezee mda wako kusema wamachinga walimchagua msigwa wkt 2020 kulikuwa hmn uchaguzi
 
Back
Top Bottom