Pamoja na kwamba Nchi yetu Ina uhitaji wa mambo mengi ila tuepuke Misaada ya fedheha na inayoshusha heshima ya Nchi.
Kuna mengi ya kuomba kusaidiwa ila Misaada ya Vyoo kama hii ya hapa Mbeya...
MBUNGE WA KALIUA MHE. ALOYCE KWEZI AMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI
Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Mhe. ALOYCE KWEZI amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Kabla hatujafika tarehe 01/03/2023 tunaomba tukumbushane juu ya hii siku muhimu ya kuadhimisha miaka miwili ya Rais DK. Samia.
01/03/2023 tunaadhimisha miaka miwili ya Mh Rais na kwa kutaja...
MABORESHO KATIKA UTARATIBU WA USAJILI WA WATOTO KUPITIA MPANGO WA TOTO AFYA KADI
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unapenda kuutangazia Umma kuwa, unafanya maboresho ya utaratibu wa usajili...
Lema Toa Elimu Badala ya kutukana!
Ndugu Godbless Lema ambae ni Muishiwa Mbunge wa Arusha zamani. (sio mheshimiwa) maana hana huo ubunge kwa sasa. Anaendelea kuzunguka nchini akitukana makundi...
Huyu Lema tangu atoke Canada anabwajaja maneno bila kutafakari eti ugali ni chakula cha masikini sijui akiwa huko alikula maharage ya wapi huyu.
Hivi kwa umri wake na kutembelea maeneo ya...
Yaani Serikali inaacha "Tozo" kwa Walalahoi na Kuondoa kodi kwa Matajiri wapya
Ni wazi kabisa,serikali ya "CCM" inawaondolea mzigo matajiri na kuwabebesha mzigo huo wananchi maskini na wa kipato...
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema Mh Lema ameendelea na Utetezi wake kwa vijana na zamu hii amemvaa Spika mstaafu Mh Anna Makinda.
Lema amesema "Anna Makinda anasema Wananchi wafundishwe namna...
MBUNGE WA WAFANYAKAZI JANEJELLY NTATE AMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI KWA ALIYOYAFANYA KWA WATUMISHI
Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini...
Taifa lolote duniani ni lazima liwe na siri na siri hizo lazima zilindwe hata kwa damu. Yes sio kila kitu unapokuwa kiongozi unapaswa kukiongea hata kama unachosema ukweli ila kikatiba na...
Mwenyekiti wa Chama Wananchi CUF, Prof Ibrahim Lipumba amesema kuwa, "Bila ya kuwa na UKAWA mpya kuelekea 2025 hata hao CHADEMA wanaojiona wakubwa wanaweza kupata mbunge mmoja tena kama 2020, CCM...
WAKILI STEPHEN BYABATO(MB) MGENI RASMI MKUTANO WA CCM BUKOBA MJINI.
Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Mhe. Stephen Byabato tarehe 12 Machi, 2023 alikuwa mgeni rasmi...
Nimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano.
Watu hawana uhakika wa kula, kupeleka watoto shule...
Mzee wa anga huyooooooooooooooo.
==================
PRESIDENT KIKWETE VISITS THE BILL GATES FOUNDATION AND BOEING PLANT IN SEATTLE
President Jakaya Mrisho Kikwete and his delegation are...
Tuwe wakweli hakuna aliyeamini kwamba kuna siku Chadema itakuwa kama TLP na Mwamba kama Mrema
Kwenye Siasa kuweka akiba ya maneno ni muhimu
Mlale Unono!
Tumefika hapa tulipo kwa sababu hatuna mifumo ya kuongoza nchi.
Inashangaza kuona anatokea mtu mmoja mjinga anavunja katiba ya nchi na bado anaendelea kuwa kiongozi.
Hatuwezi kupiga hatua kama...
Raisi wa JMT Mama Samia kwanza shikamoo.
Wadau wa JF na Watanzania wote, nina wasalimu kwa jina la JMT.
Mungu anaipenda Tanzania hata amekuchagua wewe Mama kuwa Raisi wetu.
Nimefurahi kwamba...