Harakati za pimbi mfa maji hiziMwenyekiti wa Chama Wananchi CAF, Prof Ibrahim Lipumba amesema kuwa.
"Bila ya kuwa na UKAWA mpya 2025 hata hao CHADEMA wanaojiona wakubwa wanaweza kupata mbunge mmoja tena kama 2020, CCM hawana utani kwenye uchaguzi".
2025 siyo mbali..na Hilo buyu la asali mlilokumbatia huko ufipani ndiyo kabisaHarakati za pimbi mfa maji hizi
Bora kuwa na mbunge mmoja kuliko kushirikiana na Lipumba kigeu geu mpenda kula.Mwenyekiti wa Chama Wananchi CAF, Prof Ibrahim Lipumba amesema kuwa.
"Bila ya kuwa na UKAWA mpya 2025 hata hao CHADEMA wanaojiona wakubwa wanaweza kupata mbunge mmoja tena kama 2020, CCM hawana utani kwenye uchaguzi".
Hivi bado kuna watu wanamsikiliza Lipumba ?Mwenyekiti wa Chama Wananchi CAF, Prof Ibrahim Lipumba amesema kuwa.
"Bila ya kuwa na UKAWA mpya 2025 hata hao CHADEMA wanaojiona wakubwa wanaweza kupata mbunge mmoja tena kama 2020, CCM hawana utani kwenye uchaguzi".
Lipumba acha kuwainua hawa chadema, wapatee mbungee Mumoja wa kutoka Jimbo ganiiii. 2025 hata yule wa kule kijijini harudiiiiMwenyekiti wa Chama Wananchi CAF, Prof Ibrahim Lipumba amesema kuwa.
"Bila ya kuwa na UKAWA mpya 2025 hata hao CHADEMA wanaojiona wakubwa wanaweza kupata mbunge mmoja tena kama 2020, CCM hawana utani kwenye uchaguzi".
Ni Afadhali lipumba kuliko lemaHivi bado kuna watu wanamsikiliza Lipumba ?
Lipumba nae alikuwa Mlinzi wa Maridhiano akiwa na Umri wa MboweHivi bado kuna watu wanamsikiliza Lipumba ?
Kila shetani na mbuyu wakeHivi bado kuna watu wanamsikiliza Lipumba ?
Mbona hiyo siyuuef yake haipati hata mjumbe mmoja wa nyumba tano,labda aitishe tena mkesha wakati huu wa miezi minne,na sasa sijui wapo wanachama wangapi wakuwahamishia Eisiitiii😂Mwenyekiti wa Chama Wananchi CAF, Prof Ibrahim Lipumba amesema kuwa.
"Bila ya kuwa na UKAWA mpya 2025 hata hao CHADEMA wanaojiona wakubwa wanaweza kupata mbunge mmoja tena kama 2020, CCM hawana utani kwenye uchaguzi".
Eti na huyo ni ProfesaMwenyekiti wa Chama Wananchi CAF, Prof Ibrahim Lipumba amesema kuwa.
"Bila ya kuwa na UKAWA mpya 2025 hata hao CHADEMA wanaojiona wakubwa wanaweza kupata mbunge mmoja tena kama 2020, CCM hawana utani kwenye uchaguzi".
Ndugu yangu, elewa kuwa Mungu Mwenyezi tu ni milele. Si Magufuli wa binadamu awaye yeyote aliyezaliwa na Mwanamke ataishi milele. Kumbuka pia Tanzania ilikuwepo kabla ya Magufuli, na ipo sasa wakati yeye hayupo tena na itakuwepo. Uchaguzi utaendelea kuwepo hata wewe usipopiga kura. Legeza moyo wako na kuwa huruKwahiyo sisi tufanyeje kwasababu mimi sipigi kula huo mwaka hakuna wakuni ongoza zaidi ya Hayati Magufuli
Haya ndo maneno ya busara tunaambiwa siku zote, na yanafaa kuishi nayo.Ndugu yangu, elewa kuwa Mungu Mwenyezi tu ni milele. Si Magufuli wa binadamu awaye yeyote aliyezaliwa na Mwanamke ataishi milele. Kumbuka pia Tanzania ilikuwepo kabla ya Magufuli, na ipo sasa wakati yeye hayupo tena na itakuwepo. Uchaguzi utaendelea kuwepo hata wewe usipopiga kura. Legeza moyo wako na kuwa huru
Sure, Lipumba na Zitto siyo watuBora kuwa na mbunge mmoja kuliko kushirikiana na Lipumba kigeu geu mpenda kula.
Unaachaje kumsikiliza profesa!!?..unataka tumsikilize dj na huyo mwizi wa magari anayedai kazi za watu ni laana!?..anayeutusi ugali uliomkuza!!?Hivi bado kuna watu wanamsikiliza Lipumba ?
Unajitoa akili siyo,unajifanya hujui uliyemjibu kamaanisha nini!?Lowasa ni Mtanzania hakuna mahali popote Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 inapomzuia Lowasa kutugombea kwenye chama chochote cha siasa,kwa muktadha huo Mbowe alikuwa sahihi 100%