Lema: Makinda anasema Wananchi wafundishwe namna nzuri ya kucheza kamari, akafundishe Watoto wake Nchi imekwisha hii!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,009
142,041
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema Mh Lema ameendelea na Utetezi wake kwa vijana na zamu hii amemvaa Spika mstaafu Mh Anna Makinda.

Lema amesema "Anna Makinda anasema Wananchi wafundishwe namna nzuri ya Kucheza Kamari akafundishe Watoto wake"

Lema alikuwa akihutubia Mkutano wa hadhara jijini Mwanza na amedai 80% ya Vijana wa Nchi hii ni Wacheza Kamali. Lema amelia na kusema anakuona Kizazi cha Vita huko mbele.

Source: Yohoma TV
 
Huyu anataka kugombana na kila mtu. Anaongea utumbo kila kukicha.
Anatafuta sababu ya kuendelea kuishi Canada kwa hela za walipa kodi huko. Apuuzwe mjinga huyu.
 
Huyu bwege anataka kugombana na kila mtu. Kwanza hana akili, anaongea utumbo kila kukicha.
Anatafuta sababu ya kuendelea kuishi Canada kwa hela za walipa kodi huko. Apuuzwe mjinga huyu.
Namuunga mkono Lema Kwa hil, Wewe lazima una matatizo ya kujua kamali ni nini. Kamali hailihusiwi China lakini huku hao hao wachina Ndiyo wachezeshaji.
 
Huyu bwege anataka kugombana na kila mtu.
Kwanza hana akili, anaongea utumbo kila kukicha.
Anatafuta sababu ya kuendelea kuishi Canada kwa hela za walipa kodi huko.
Apuuzwe mjinga huyu.
Huyu bwege anataka kugombana na kila mtu.
Kwanza hana akili, anaongea utumbo kila kukicha.
Anatafuta sababu ya kuendelea kuishi Canada kwa hela za walipa kodi huko.
Apuuzwe mjinga huyu.
kama ni kodi ya wazungu wewe inakuhusu nini?hizo pesa si waliziiba afrika wacha zitumike kwa namna hiyo.
 
Namuunga mkono Lema Kwa hil, Wewe lazima una matatizo ya kujua kamali ni nini. Kamali hailihusiwi China lakini huku hao hao wachina Ndiyo wachezeshaji
Kamali imekatazwa kwenye vitabu vya dini,ilo la kusema china hawachezi kamali amekuambia nani mkuu,hujawahi kufika china nini?,yale makasino basi kwenye runinga huyaoni?,chanzo cha karata kwanza ni china.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa Mzazi wa ajabu saana kumruhusu Mwanao acheze KAMARI.
Mara akosapo fedha za kucheza kamari,anaanza kuiiba vitu vya nyumbani na kuviuza akimaliza nyumbani huamia mitaani na huko akinaswa anavalishwa matairi halafu anapigwa kiberiti.
 
Huyu bwege anataka kugombana na kila mtu.
Kwanza hana akili, anaongea utumbo kila kukicha.
Anatafuta sababu ya kuendelea kuishi Canada kwa hela za walipa kodi huko.
Apuuzwe mjinga huyu.
Ukimpuuza wewe inatosha,. Usitupangie sisi watu wa kuwasikiliza.
 
Kubet sio Kazi ni kupoteza muda na kuua Akili yako

Mwambie lema azungumzie na ngono pia inaua vijana
 
Huyu bwege anataka kugombana na kila mtu.
Kwanza hana akili, anaongea utumbo kila kukicha.
Anatafuta sababu ya kuendelea kuishi Canada kwa hela za walipa kodi huko.
Apuuzwe mjinga huyu.

Hela ya walipa kodi wa Tanzania ndo inamweka Canada? Kweli boda boda upepo unawaathiri.
 
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh Lema ameendelea na Utetezi wake kwa vijana na zamu hii amemvaa Spika mstaafu mh Anna Makinda

Lema amesema " Anna Makinda anasema Wananchi wafundishwe namna nzuri ya Kucheza Kamali akafundishe Watoto wake"

Lema alikuwa akihutubia Mkutano wa hadhara jijini Mwanza na amedai 80% ya Vijana wa Nchi hii ni Wacheza Kamali. Lema amelia na kusema anakuona Kizazi cha Vita huko mbele

Source: Yohoma TV
1678858539085.png
 
Atalipwaje posho kama hataongea utumbo kwa level yake?
 
Mwamba Lema

Nakushukuru sana

Sisi Watanzania tunaona mbalii.

Wachina walitengeneza toyo awape Vijana wa kiafrika ibize ili waje Africa wapare sehemu ya kufanya kazi watu wao.

Na wameweka limit ndani ya miaka 20 hawa wajinga nguvu kazi zao zimeisha wao wapate nafasi.

Pili kuhusu ugali hili ni kwelii ugali ni chakula cha kimaskini tunakula tuuu.

Tatu kuhusu kamarii fatilia wote wanaocheza kamari ni wasio na ajira.

Watoto wa akina Vigogo ,na Viongozi wote unaowaona wanacheza kamarii????

Waulizee

Anatokea mtuu anasema vijana wafundishwe namna ya kucheza kamari

Honestly this is harassment to Youth.

Ni mpuuzi mmoja asiye na akili anaweza kuunga mkono huo ujinga .

Povu ruksa.
 
Back
Top Bottom