Unapokuwa kiongozi wa Kitaifa kwanini lazima uwe makini na ulimi wako kutunza siri

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,175
11,177
Taifa lolote duniani ni lazima liwe na siri na siri hizo lazima zilindwe hata kwa damu. Yes sio kila kitu unapokuwa kiongozi unapaswa kukiongea hata kama unachosema ukweli ila kikatiba na kimuongozo kama mtunza siri wa wa kwanza ktk taifa hupaswi kusema nini unakijua au kinaendelea ktk taifa lako..

Siri za Taifa mara nyingi huwapoteza watu na huenda wasionekane tena hata kiama yes. Moja ya mission kubwa sana ambayo Taifa la Marekani waliwahi kuifanya na dunia haikujua wala kuwaza ilikuwa operesheni ya kumtafuta na kumuua Osama Bin Laden.

Hii operesheni ilifanyika kwa usiri mkubwa sana kiasi hata aliyenusa juu ya operesheni hii alijikuta ndani ya kiza cha mauti. Yes CIA waliendesha hii operesheni ktk kiza kinene mpaka leo dunia haijaelewa nini kilitokea. Siku ambayo ndio Osama alikuwa assassinated ndio siku kule Marekani White house waliandaa kituko Ikulu watu wacheke wafurahi maana usiku ule ulikuwa mzito kwa taifa hasa ikizingatiwa opereshen ile ilikuwa ikifanyika ndani ya Taifa ambalo pia ni wababe wa ujasusi, mbaya kuliko yote adui alikuwa near by base kubwa ya jeshi la Pakstan.

Pili ilikuwa operesheni ngumu maana moja ya vikosi hatari vya makomandoo 100 walikuwa wakipikwa usiku na mchana kwa kazi ambayo walijua siku ya opereshen. It was hard time ktk vyumba vya siri vya white house. Kiufupi it was real time operation under white house bunkers... Ndege zilitumika aka helicopter hazikuwahi julikana ktk moja ya silaha za USA na mpaka sasa hiyo technology is top secret.

Kule Israel siri ni uhai wako na kama huna siri is either u die or utaishi jela milele hili ni moja ya Taifa Waziri Mkuu aliuawa kwa kushindwa weka maslahi ya Taifa mbele.

Israel ni baba wa mission ambazo zimekuwa zikiacha dunia midomo wazi. Moja ya currently mission ambayo ilitikisa Iran ni mission walioweza kumdukua mmoja wa watu wa karibu Ayatollah Khomeini. Na huyu sio mwingine ni yule mkuu wa vikosi hatari vya Serikali ya Iran, Soleiman. Huyu mwamba aliwatesa ila the way walivyomla kichwa na ulinzi alikuwa nao imebaki kuwa kitisho kwa Iran. Kifo cha huyu mwamba pamoja na top team yake na secret jamaa wali-capture ilikuwa kama kupanga mauaji ya Ayatollah Khomeini. Kuanzia logistics na aina ya ndege walitumia Marekani viliwaacha midomo wazi.

Nguvu na uwezo wa taifa lolote duniani ni Siri. Yes Tz unayoiona leo imejengwa juu ya majabali wa siri wachache wamebaki na haya majabali ndio watafanya yao 2025. Hiyo nimechomekea tu.

Kama Taifa nilazima viongozi wajifunze siri yes neno moja tu linaweza kushusha uchumi wa taifa mpaka zero. Neno moja tu la kiongozi linaweza anzisha vita ambayo hakuna anaweza kuamin. Neno moja la siri laweza fanya dunia ikakukalia kooni usiamini.

Unaweza kujiuliza why mtu alitoa siri ya Covid 19 China walimla kichwa, naomba usiniulize hatuna uhuru wa namna hiyo unapokuwa kiongozi hauna mke wala mume wala ndugu maana kama upo kwenye taifa idara za usalama zinasimamia maslahi ya Taifa kama Israel au China kifo kwa kiongozi ni unatembea nacho.

Hivi umewahi jiuliza why yule mwandishi wa habari walimkatakata kama kitimoto na kumtia kwa salfuric acid? na mpaka Marekani akafunga mdomo? Siri siri zilimtoa roho Jamal Khashog.

Hivi umewahi kukaa na kujiuliza nini kilimpindua Yule Rais wa Misri ambaye alichaguliwa na wananchi ila akapinduliwa na Mkuu wa Majeshi alimwamini na mwisho akafia jela while chama kikifutwa. Unajua nini ni kuvuja kwa siri ana mahusiano na Iran na ametoa nyeti taarifa kwa iran. Siri siri ukosa hii hata kama ni kiongozi mzuri utapotea kwenye siasa.

Kule Marekani kuna utaratibu ukiuvuka wanakuondoa kwenye kiti. USA hawapendi kujulikana uwezo wao wa kijeshi wao wanapenda wakuoneshe uwezo wao ukiwagusa. Hawapendi kutisha mataifa mengine kijeshi ila hufanya hivyo ukishawagusa. Wao wana msg yao wanaipenda we do bad things to bad people. Hii quote ina ukweli ni moja ya taifa lina majitu katili sana ukiwagusa. Trump alipojivuna juu ya uwezo wao hakudumu. Usiniulize why.

Kama Taifa tuna safari ndefu, je tuna viongozi wenye ngozi ya chuma na mioyo ya mawe. Tafakari
 
Nilichojifunza hata mtu binafsi natakiwa kuwa na Siri, nyingine hata mke asizijue, yaani mtu yeyote asinifahamu kwa zaidi ya 50%, hata Kama ni mzazi, mafanikio yanategemea usiri, sasa walioumbwa na viherehere... na kutumia tupombe kidogo, wanatembea uchi!! Hadi mipango yako ya mwakani, mtaa mzima wanaijua!!!
 
Taifa lolote duniani ni lazima liwe na siri na siri hizo lazima zilindwe hata kwa damu. Yes sio kila kitu unapokuwa kiongozi unapaswa kukiongea hata kama unachosema ukweli ila kikatiba na kimuongozo kama mtunza siri wa wa kwanza ktk taifa hupaswi kusema nini unakijua au kinaendelea ktk taifa lako..
Kiongozi yupo ofisini anachapa kazi hawezi kwenda Kariakoo, allisikika siku ya Ijumaa
 
Taifa lolote duniani ni lazima liwe na siri na siri hizo lazima zilindwe hata kwa damu. Yes sio kila kitu unapokuwa kiongozi unapaswa kukiongea hata kama unachosema ukweli ila kikatiba na kimuongozo kama mtunza siri wa wa kwanza ktk taifa hupaswi kusema nini unakijua au kinaendelea ktk taifa lako..
Kama Taifa nilazima viongozi wajifunze siri yes neno moja tu linaweza kushusha uchumi wa taifa mpaka zero. Neno moja tu la kiongozi linaweza anzisha vita ambayo hakuna anaweza kuamin. Neno moja la siri laweza fanya dunia ikakukalia kooni usiamini.lHivi umewahi jiuliza why yule mwandishi wa habari walimkatakata kama kitimoto na kumtia kwa salfuric acid? na mpaka Marekani akafunga mdomo? Siri siri zilimtoa roho Jamal Khashog. why.Kama Taifa tuna safari ndefu, je tuna viongozi wenye ngozi ya chuma na mioyo ya mawe. Tafakari
Naunga mkono hoja Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
P
 
Kwanza ni Mwanamke, alafu Mswahili, mbaya zaidi ana uwezo wa kawaida wa Akili ( na Hili linathibitishwa ma Safari yake ya Elimu ilojaa kuunga unga sana ).

Hiyo Siri itatunzwa Wapi???.

Tafuta hela wewe...
Mama ni mpaka 2035, na tutamlinda mpaka mwisho.....
1657918320646.jpeg
 
Taifa lolote duniani ni lazima liwe na siri na siri hizo lazima zilindwe hata kwa damu. Yes sio kila kitu unapokuwa kiongozi unapaswa kukiongea hata kama unachosema ukweli ila kikatiba na kimuongozo kama mtunza siri wa wa kwanza ktk taifa hupaswi kusema nini unakijua au kinaendelea ktk taifa lako..

Siri za Taifa mara nyingi huwapoteza watu na huenda wasionekane tena hata kiama yes. Moja ya mission kubwa sana ambayo Taifa la Marekani waliwahi kuifanya na dunia haikujua wala kuwaza ilikuwa operesheni ya kumtafuta na kumuua Osama Bin Laden.

Hii operesheni ilifanyika kwa usiri mkubwa sana kiasi hata aliyenusa juu ya operesheni hii alijikuta ndani ya kiza cha mauti. Yes CIA waliendesha hii operesheni ktk kiza kinene mpaka leo dunia haijaelewa nini kilitokea. Siku ambayo ndio Osama alikuwa assassinated ndio siku kule Marekani White house waliandaa kituko Ikulu watu wacheke wafurahi maana usiku ule ulikuwa mzito kwa taifa hasa ikizingatiwa opereshen ile ilikuwa ikifanyika ndani ya Taifa ambalo pia ni wababe wa ujasusi, mbaya kuliko yote adui alikuwa near by base kubwa ya jeshi la Pakstan.

Pili ilikuwa operesheni ngumu maana moja ya vikosi hatari vya makomandoo 100 walikuwa wakipikwa usiku na mchana kwa kazi ambayo walijua siku ya opereshen. It was hard time ktk vyumba vya siri vya white house. Kiufupi it was real time operation under white house bunkers... Ndege zilitumika aka helicopter hazikuwahi julikana ktk moja ya silaha za USA na mpaka sasa hiyo technology is top secret.

Kule Israel siri ni uhai wako na kama huna siri is either u die or utaishi jela milele hili ni moja ya Taifa Waziri Mkuu aliuawa kwa kushindwa weka maslahi ya Taifa mbele.

Israel ni baba wa mission ambazo zimekuwa zikiacha dunia midomo wazi. Moja ya currently mission ambayo ilitikisa Iran ni mission walioweza kumdukua mmoja wa watu wa karibu Ayatollah Khomeini. Na huyu sio mwingine ni yule mkuu wa vikosi hatari vya Serikali ya Iran, Soleiman. Huyu mwamba aliwatesa ila the way walivyomla kichwa na ulinzi alikuwa nao imebaki kuwa kitisho kwa Iran. Kifo cha huyu mwamba pamoja na top team yake na secret jamaa wali-capture ilikuwa kama kupanga mauaji ya Ayatollah Khomeini. Kuanzia logistics na aina ya ndege walitumia Marekani viliwaacha midomo wazi.

Nguvu na uwezo wa taifa lolote duniani ni Siri. Yes Tz unayoiona leo imejengwa juu ya majabali wa siri wachache wamebaki na haya majabali ndio watafanya yao 2025. Hiyo nimechomekea tu.

Kama Taifa nilazima viongozi wajifunze siri yes neno moja tu linaweza kushusha uchumi wa taifa mpaka zero. Neno moja tu la kiongozi linaweza anzisha vita ambayo hakuna anaweza kuamin. Neno moja la siri laweza fanya dunia ikakukalia kooni usiamini.

Unaweza kujiuliza why mtu alitoa siri ya Covid 19 China walimla kichwa, naomba usiniulize hatuna uhuru wa namna hiyo unapokuwa kiongozi hauna mke wala mume wala ndugu maana kama upo kwenye taifa idara za usalama zinasimamia maslahi ya Taifa kama Israel au China kifo kwa kiongozi ni unatembea nacho.

Hivi umewahi jiuliza why yule mwandishi wa habari walimkatakata kama kitimoto na kumtia kwa salfuric acid? na mpaka Marekani akafunga mdomo? Siri siri zilimtoa roho Jamal Khashog.

Hivi umewahi kukaa na kujiuliza nini kilimpindua Yule Rais wa Misri ambaye alichaguliwa na wananchi ila akapinduliwa na Mkuu wa Majeshi alimwamini na mwisho akafia jela while chama kikifutwa. Unajua nini ni kuvuja kwa siri ana mahusiano na Iran na ametoa nyeti taarifa kwa iran. Siri siri ukosa hii hata kama ni kiongozi mzuri utapotea kwenye siasa.

Kule Marekani kuna utaratibu ukiuvuka wanakuondoa kwenye kiti. USA hawapendi kujulikana uwezo wao wa kijeshi wao wanapenda wakuoneshe uwezo wao ukiwagusa. Hawapendi kutisha mataifa mengine kijeshi ila hufanya hivyo ukishawagusa. Wao wana msg yao wanaipenda we do bad things to bad people. Hii quote ina ukweli ni moja ya taifa lina majitu katili sana ukiwagusa. Trump alipojivuna juu ya uwezo wao hakudumu. Usiniulize why.

Kama Taifa tuna safari ndefu, je tuna viongozi wenye ngozi ya chuma na mioyo ya mawe. Tafakari
Nakushukuru sana sana
 
Siri za nchi zenye demokrasia kama Marekani na Israel zinalinda maslahi ya taifa, siri za nchi kama zetu zinalinda maslahi ya watawala. Na akitokea mtawala fisadi basi siri za nchi zitalinda na kuficha ufisadi. Mikataba siri, afya ya Rais siri, takwimu za magonjwa siri, kila kitu siri ili kuficha uchafu na uozo. Mfumo mbovu sana huu tunao.
 
Ilikuwa siri operesheni ya Osma lakini hapa unaidadavua kama ulikuwepo.

🤣🤣🤣
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom