Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeyakumbuka maneno ya Baba wa Taifa aliyoyatoa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wakati wa kutoa msamaha kwa wanachuo waliokuwa wamefukuzwa kwa wasiojua, nimesahau mwaka. Nilikuwa shule ya msingi...
17 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari Wana jukwaa. Kwa Mujibu wa Taarifa ya Kamati ya Sera za Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania BoT,Nchi yetu Sasa Ina kiwango Cha chini kabisa Cha fedha za Kigeni kuwahi kutokea kwa kipindi Cha...
13 Reactions
125 Replies
7K Views
sababu... 1. Vyama pinzani vyote NI dhaifu 2. Viongozi wa vyama pinzani ni walamba asali wazuri. 3. Tanzania bado hatuna chama kikuu Cha upinzani ,hiki kinachojinasibu ni kikuu,ni upotoshaji...
13 Reactions
102 Replies
3K Views
Je, ni kweli kabisa Hayati Magufuli alifanya Kazi kubwa kuwazidi marais wanne waliomtangulia? Kwa mfano Wengine hawakufanya lakini Yeye amethubutu; Kuhamishia Makao makuu ya Serikali Dodoma...
0 Reactions
1 Replies
449 Views
Kwa kazi alizozifanya kwa kipindi kifupi hiki kwenye uongozi wake umedhihirisha wazi kuwa ni kiongozi mwenye kipawa Cha hali ya juu Sana, hekima, uchaji Mungu, upendo,, vyote na vingine vingi...
1 Reactions
3 Replies
435 Views
Ni ukweli mtupu yeyote anayebeza na kukejeli maridhiano yanayoendelea baina ya CCM na CHADEMA ni mfuasi wa sukuma gang mtawala wa awamu ya 5 licha ya Mbowe kumwomba kuwepo na maridhiano pale CCM...
25 Reactions
139 Replies
6K Views
Mnabaki kusingizia kitu kisichokuwepo! Kila mkiambiwa Ukweli wa maovu na uzembe wenu, mnakimbilia Sukuma Gang wewe! Kila mkianikwa Madhambi na Ufisadi wenu, mnakimbilia Sukuma Gang wewe! Kila...
4 Reactions
9 Replies
932 Views
Salute, kwa sasa ktk mitandao ya kijamii,kila anayejaribu kulalamikia utawala uliopo kwa ufisadi ,anaitwa sukuma gang! Anayelalamika ugumu wa maisha na kupanda bei kwa vitu ni Sukuma gang...
7 Reactions
119 Replies
4K Views
Ni swala la muda muda tu , watu wengi wataachishwa kazi kwenye makampuni makubwa, kutokana na kukua kwa teknolojia. Kuna robot anaye-trend huku mtandaoni , anaitwa ChatGPT. Huyu robot anauwezo wa...
12 Reactions
56 Replies
7K Views
Rais naomba nisianze Kwa kukupongeza Kwa kazi unazozifanya maana Mimi ni miongoni MWA watu wachache tunao amini yakuwa hakuna Rais wa nchi anae ingia ikulu Kwa ajili ya kucheza" mdundiko ngoma ya...
1 Reactions
3 Replies
908 Views
Licha ya uhuru wa kisiasa uliopo nchini kwa sasa ni mapema sana kusema kwamba hali ya siasa imeshakuwa shwari. Siasa inayoendelea hivi sasa ni ile ya kuvuta utayari na kuwaaminisha watu kuwa kuna...
2 Reactions
1 Replies
562 Views
Tunaweka kumbukumbu sawa. Rais Samia alipoingia Madarakani alikuta Makusanyo ya Kodi kutoka TRA ni wastani wa Sh.Trilioni 1.2 Kwa mwezi mwaka 2021 kutoka Wastani wa Shilingi Bilioni 800 Kwa mwezi...
14 Reactions
160 Replies
7K Views
Hatutasahau Wananchi kusalitiwa na CHADEMA mchana kweupe, hatutasahau CHADEMA kushirikiana na mtesi wetu CCM. Hatusahau CHADEMA kuikataa hoja ya Wananchi kuhusu mchele kupanda toka Tsh. 1,500...
3 Reactions
12 Replies
773 Views
Ufaransa (France) inapokea watalii si chini ya milioni 80 kila mwaka toka kote duniani. Paris ikiwa kitovu cha kupokea watalii husika. Lakini pamoja na wingi huo wa watalii, Ufaransa haina vivutio...
2 Reactions
3 Replies
708 Views
Njoo kwenye hoja. Leo kumetokea kituko Dar. Kuna wanawake zaidi ya 1,500 wamewasili Dar kutokea mikoa yote ya Tanzania. Nia ya wao kuja Dar ni Ili waweze kukutana Kesho asubuhi hadi saa nane...
17 Reactions
147 Replies
9K Views
Rais leo hakika umekonga nyoyo za wengi kwa kukabidhi shamba darasa kwa vijana ambapo umefanikisha lengo la kupunguza tatizo la ajira na hata itapelekea kutowesha tishio la njaa nchini na Afrika...
0 Reactions
0 Replies
436 Views
Balozi Polepole anazipokea helikopta mbili toka Tanzania kwenye uwanja wa ndege Chileka Blantyre Malawi, ndege hizi ni kwa ajili ya kutoa msaada wa uokoaji wananchi waliokumbwa na kimbunga Freddy...
11 Reactions
49 Replies
7K Views
Haya sio maneno yangu Wala ya Mwigulu Wala Rais Samia Bali ni ya majarida ya biashara Afrika.. Rais Samia anazidi kujipambanua.. Mataga,sukuma gang na Chadomo karibuni Kwa mapovu.. Nchi Zenye...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Haya Mashirika yaani NGOs za kimataifa zinazo fanya kazi Tanzania zina mifumo dhabiti mno ya kudili na rushwa na kila aina ya Ufisadi. Hata kama bado ufisadi unakuwepo ila ni kwa kiwango cha chini...
3 Reactions
2 Replies
544 Views
Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, na Tunisia kuna maandamano yanayoongozwa na wanasiasa walioshindwa katika uchaguzi. Hii inaashiria kuwa hatuna wanasiasa ambao wanakubali kushindwa katika...
0 Reactions
13 Replies
823 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…