Jinsi Mzalendo Magufuli alivyofanana Sana kimtazamo na Idd Amin Dada

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Kitu wasiokijua watanzania wengi NI kuwa mpaka Sasa Idd Amini Anaonekana NI shujaa na mtu mzalendo zaidi kwa karibu robo ya waganda wote na sehemu kubwa ya Afrika. Ndio maana ata Obote baada ya kurudishwa na nyerere kwenye madaraka hakuweza kukaa ata kwa miaka miwili na ndipo akaibuka mseveni kwa kivuli Cha kuwaunganisha watu wa Obote na Amini na kufanya Uganda moja.

Ila ukweli wanamfanano mkubwa Sana na wa ajabu. Ukweli Magu alitawala mda mfupi wakati media zikiwa juu Sana na nyingi zikiimba nyimbo za kumsifu yaliyotendeka kwake na kwa JPM yanafanana Sana.

Jinsi wanavyofañana.
1. Wote walikuwa wapinga rushwa haswa. Wakati Idd Amini Dada anamkwapua Obote nchi. Nchi ilikuwa inanuka rushwa. Na Sera zake juu ya wizi na wararushwa zilimfAnya kila apitapo watu wapige vigeregere. Alisafisha rushwa na kujenga moyo wa utu miongoni mwa waganda.

2. Wote walipendwa na watu wengi na kuwa Gumzo Africa Mwanzoni mwa utawala wao. Kwa umaarufu wake 1975 Idd Amini Dada alikuwa Mwenyekiti wa umoja wa Afrika na July aliongooza kikao maarufu cha Oau na aliweka ajenda ya kuwatoa wazungu Namibia na South Africa kwa mtutu. Alishangiliwa Kama shujaa wa afrika. Ila wote hawakuwa na uhusiano mzuri Sana na jirani mojawapo. Ilikuwa kwa Idd Amin na Nyerere na tz ya Magufuli na Kenya.

3. Hawakuvutiwa na wazungu. Wakati Idd Amini Dada akivunja Hadi uhusiano wa kibalozi na Uingereza 1977. Na kuweka urafiki na Saud Arabia na Libya waliompa mpaka ndege na wanajeshi kwenye Vita ya kagera. Tanzania katika utawala wa JPM tuliwaita wazungu makaburu, Tulivuruga mikataba kibao na tulijaribu kuwavutia waarabu Kama Utawala wa Morocco na tukaahidiwa uwanja wa Mpira Dodoma. Sema hatukufanikiwa Sana sababu Sasa nchi za mashariki ni dhaifu Sana kiuchumi. Pia magharibi walipambana kwa ujanja ujanja wasije mbeba kwenye kiti Kama amini aliyobebwa na waingereza.

4. Wote hawakuamini Sana Wanawake. Kuna wakati Idd Amini Dada aliongooza balaza la mawaziri lenye mwanamke moja tu. Huku wakati wa JPM licha ya kuwa na mwanamke makamu wa Raisi. Na katiba kusisitiza usawa wa kijinsia Kuna wakati katika nafasi za wabunge wa Raisi waliteuliwa Hadi wabunge sita kiume kimakosa kwenye nafasi ya mwanamke. Inabidi mbuge mwingine apewe ubalozi. Na nafasi nyingi wanawake walisua sua.

5. Wote walikuwa wacheshi na wakati mwingine wakali. Wapenzi wa michezo. Idd Amini Dada aliweza kupiga gitaa, kinanda na ngoma vizuri. Na zipo picha za jpm akipiga ngoma.

6. Wote waliamini katika Mungu. Spichi zao nyingi ziliingiza maswala ya Imani. Waliweka urafiki na viongozi wa dini tofauti na dini zao. Idd Amini Dada alikuwa rafiki na askofu Lowum Ambaye baadae walikuja kukosana wakati wa mkwamo wa sera zake.

7. Wote kufikia mafanikio hawakutaka saana kufata Sheria. Mfano idd Amini Dada alitaka jambazi akipatina na ushaidi upo wa watu kusema wasiisubiri mahaka wamalize uko uko. Waliua majambazi na waalifu wengi kwa kuwapiga risasi hadharani mbele ya halaiki. Idi amini alikuwa wazi zaidi kwenye hili.

8. Wote hawakupenda kukosolewa. Ila kwa wakati ule ilikuwa NI hatari zaidi kumkosoa Amini. Kwani aliamini kuwa ukimkosoa umetumwa na magharibi. Ndivyo hisia zilivyokuwa wakati wa JPM kuhushisha mabeberu na upinzani

9. Wote hawakuwa na uhusiano mzuri Sana na wafanyabiasha wakubwa. Waliamini NI wezi na wanyinyaji. Mfano Idd Amini Dada aliwapokonya Mali, fedha na kuwafukuza wahindi Uganda. Huku wakati wa JPM inasemekana wapo wafanyabiashara wakubwa walioporwa na tra fedha kwenye ac na kesi za uhujumu uchumi zikawa kibao ili walipe Hapo Dada alikuwa muwazi Sana.

Wote waliamini katika ununuzi wa vitu vya garama serikalini. Idi alinunua ndege nyingi na vifaru vya kivita huku raia wake uchumi ukishuka. Ndivyo na bongo tulinunua ndege huku watu maisha magumu. Tulikopa korosho na pamba na kutoka kwa wakulimana kununu ndege za mabilion kwa keshi.

10. Hakuna ushaidi wowote kuwa ata moja wao alikuwa mwizi. Wote hawakuwa na account za fedha nje ya nchi wakiwa madarakani.

11. Sio watu wa diplomasia au democracy in nature.

12. Walipendwa watu wa chini kabisa. Idd Amini Dada alikuwa Raisi wa kwanza duniani aliyeamuru wafanyakazi wa Uganda walipewa mshahara kila rth 23 na kufanikisha Hilo kutoka walipokuwa wanakaa miezi kadhaa bila mishahara.

13. Wote waliongoza kwa mbwembwe. Mfano Kuna mkutano wa adhra Uganda Idd Amini alimteua daktari wa kawaida kuwa mganga mkuu baada ya kutamka mapungufu kwenye hospital.
Kuamini kilakitu kinaisha kwa nguvu. Mfano Aliivamia Tanzania sababu makundi mengi ya waasi wa Uganda Viongozi wao walikuwa Tanzania akina mseveni Enzi hizo. Hakutumia mbinu za kidiplomasia.

14. Wote walipenda Sana kuonekana kwenye vyombo vya habari. Vikao vyake na mawaziri na kila alichokifanya waliweka kwenye media za nchi yake.
15. Walipenda kusifiwa na kuogopwa. Ile habari ya mkurunjenji Mimi NI mkurunjenji. Iliwakuta wachungaji wa makanisa yaliyopigwa marufuku Uganda. Baada ya idd Amini kuwaita kwa kosa la kuhubiri na wakijua idd Amini ndio Sheria aliwauliza mi NI Nani. Moja wao alijibu. Wewe NI General Idd Amini Dada, fieldmarsho, king, the conquer of British Empire, the only president for life Basi jamaa akacheka akawasamehe Kama JPM alivyomsamehe Yule mkurunjenji.
16. Wote walituhumiwa kuweka watu wa karibu au ndugu sehemu nyeti. Maliyamungu inasemekana alikuwa NI mpwa wake ndie aliyekuwa mkuu wa vikosi vya ulinzi. Huku kelele za mlipaji mkuu na upwa zilikuwepo pia huku kwetu.
17. Wote walipenda kila mwananchi achape Kazi, hawakutaka uvivu au kuwa na mtu tegemezi ktk taifa.

18. Wote waliibuka kutoka familia zenye maisha ya chini Hadi kuwa watawala. Hakuna ndugu au wazazi wao waliojulikana katikauongozi wowote Kama uchifu au uongozi wowote wa juu Kama ulivyo kwa viongozi wengi wa Africa.

19. , wote waliimiza matumizi ya kiswahili. Idd Amini ndie alisisitiza kiswahili kuwa Lugha ya Jeshi la Uganda na hawakuwa wazungumzaji wazuri wa kiingereza. Idd Amin Aliongea kiingereza kwa shida zaidi

Kitu ambacho kilimchafua Idd Amin Kwa watanzania, moja alimtoa madarakani rafiki wa nyerere Obote, Pili Vita ya kagera na tatu Propaganda za wazungu na hasa ile filamu ya kuigiza inayomuhusisha na kila nyama za watu kitu ambacho hakiwezi kusibitishwa Hadi Leo ingawa alitokea jamii yenye Tania hizo. Idd Amini alizidisha chuki dhidi ya wazungu na mbaya zaidi alikalibisha na kuwashika mateka raia wa Israel.

Tofauti kubwa waliokuwa nayo Amini aliingia kijeshi, pia Amini aliingusha Sana sarafu ya Uganda uku Magufuli alijitahidi kuidhibiti.
 
Attachments

  • Uganda's Amin vs. Museveni ( 240 X 416 ).mp4
    3.2 MB
Kitu wasiokijua watanzania wengi NI kuwa mpaka Sasa Idd Amini Anaonekana NI shujaa na mtu mzalendo zaidi kwa karibu robo ya waganda wote na sehemu kubwa ya Afrika. Ndio maana ata Obote baada ya kurudishwa na nyerere kwenye madaraka hakuweza kukaa ata kwa miaka miwili na ndipo akaibuka mseveni kwa kivuli Cha kuwaunganisha watu wa Obote na Amini na kufanya Uganda moja.

Jinsi wanavyofañana.
1.Wote walikuwa wapinga rushwa haswa. Wakati Idd Amini Dada anamkwapua Obote nchi. Nchi ilikuwa inanuka rushwa. Na Sera zake juu ya wizi na wararushwa zilimfAnya kila apitapo watu wapige vigeregere. Alisafisha rushwa na kujenga moyo wa utu miongoni mwa waganda.

2. Wote walipendwa na watu wengi na kuwa Gumzo Africa Mwanzoni mwa utawala wao. Kwa umaarufu wake 1975 Idd Amini Dada alikuwa Mwenyekiti wa umoja wa Afrika na July aliongooza kikao maarufu Cha Oau na aliweka ajenda ya kuwatoa wazungu Namibia na South Africa kwa mtutu. Ila hawakuwa na uhusiano mzuri Sana na jirani mojawapo. Ilikuwa kwa Idd Amin na nyerere na tz ya Magufuli na Kenya.

3.hawakuvutiwa na wazungu. Wakati Idd Amini Dada akivunja Hadi uhusiano wa kibalozi na Uingereza 1977. Na kuweka urafiki na Saud Arabia na Libya waliompa mka ndege na wanajeshi kwenye Vita ya kagera. Kwetu huku tuliwaita wazungu makaburu na tulijaribu kuwavutia waarabu Kama Utawala wa Morocco na tukaahidiwa uwanja wa Mpira Dodoma. Sema hatukufanikiwa Sana sababu Sasa nchi za mashariki NI dhaifu Sana kiuchumi.

4. Wote hawakuamini Sana Wanawake. Kuna wakati Idd Amini Dada aliongooza balaza la mawaziri lenye mwanamke moja tu. Huku licha ya kuwa na mwanamke makamu wa Raisi. Na katiba kusisitiza usawa wa kijinsia Kuna wakati katika nafasi za wabunge wa Raisi waliteuliwa Hadi wabunge sita kiume kimakosa kwenye nafasi ya mwanamke. Inabidi mbuge mwingine apewe ubalozi. Na nafasi nyingi wanawake walisua sua.

5. Wote walikuwa wacheshi na wakati mwingine wakali. Wapenzi wa michezo. Idd Amini Dada aliweza kupiga gitaa, kinanda na ngoma vizuri. Na zipo picha za jpm akipiga ngoma.

6. Wote waliamini katika Mungu. Spichi zao nyingi ziliingiza maswala ya Imani. Waliweka urafiki na viongozi wa dini tofauti na dini zao. Idd Amini Dada alikuwa rafiki na askofu Lowum Ambaye baadae walikuja kukosana.
7. Wote kufikia mafanikio hawakutaka saana kufata Sheria. Mfano idd Amini Dada alitaka jambazi akipatina na ushaidi upo wasiisubiri mahaka wamalize uko uko..
8. Wote hawakupenda kukosolewa. Ila kwa wakati ule ilikuwa NI hatari zaidi kumkosoa Amini. Kwani aliamini kuwa ukimkosoa umetumwa na magharibi.
9. Wote hawakuwa na uhusiano mzuri Sana na wafanyabiasha wakubwa. Waliamini NI wezi na wanyinyaji. Mfano Idd Amini Dada aliwapokonya Mali, fedha na kuwafukuza wahindi Uganda. Huku hao watu inasemekana wapo walioporwa na tra fedha kwenye ac na kesi za uhujumu uchumi. Hapo Dada alikuwa muwazi Sana.
VvWote waliamini katika ununuzi wa vitu vya garama serikalini. Idi alinunua ndege nyingi na vifaru vya kivita huku raia wake uchumi ukishuka na bongo tulinunua ndege huku watu.......
10. Hakuna ushaidi wowote kuwa ata moja wao alikuwa mwizi. Wote hawakuwa na account za fedha nje ya nchi wakiwa madarakani.

11. Sio watu wa diplomasia au democracy in nature.
12. Walipendwa watu wa chini kabisa. Idd Amini Dada alikuwa Raisi wa kwanza duniani aliyeamuru wafanyakazi wa Uganda walipewa mshahara kila rth 23 na kufanikisha Hilo kutoka walipokuwa wanakaa miezi kadhaa bila mishahara.
13. Wote waliongoza kwa mbwembwe. Mfano Kuna mkutano wa adhra Uganda Idd Amini alimteua daktari wa kawaida kuwa mganga mkuu baada ya kutamka mapungufu kwenye hospital.

Kasoro kubwa iliyobadili Taswira ya Idd Amini Dada NI ubabe na kutokukosolewa, mzaha na dharau. Kuamini kilakitu kinaisha kwa nguvu. Mfano Aliivamia Tanzania sababu makundi mengi ya waasi wa Uganda Viongozi wao walikuwa Tanzania akina mseveni Enzi hizo. Hakutumia mbinu za kidiplomasia.
Uko sahihi kwa zaidi kwa zaidi ya 80%.
 
Makala nzuri sana...

Lakini fanya marekebisho ya uandishi kwa kuwa lina makosa mengi ya kiuandishi/kisarufi kiasi cha msomaji kushindwa kukuelewa kwa urahisi...
 
@
wasafifm_161825138441510.jpg
 
KUKURUDISHA KWA MUUMBA ILIKUWA ISHU NDOGO
 
Hivi ni kweli Amini akila nyama za watu?
 
Guess what...JPM has refused to die! Anahangaisha watu mpaka leo akiwa amekufa. What a blessing!!!
 
Back
Top Bottom