Mifungo ya Kwaresma na Ramadhan

Mifungo ya Kwaresma na Ramadhan

laptop90

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
1,827
Reaction score
2,298
Hiki ni kipindi cha mifungo kwa imani zote yaani Wakristu na waislamu.

Ni kipindi ambacho viongozi wamekua wakisisitiza kutokupandisha bei ya bidhaa.

Kauli hii ya msisitizo inakolezwa na na MFUNGO WA RAMADHAN.

Wanasahau pia ktk mfungo hii pia KWARESMA IPO.

Hua nimefuatilia sana hizi kauli ni kama vile kwa wakristu kwao bidhaa zikipanda hazina madhara kwa mfungo wao.

Niko paleee nasubiri povu
 
Sijui ni kiongozi gani anayeweza kusimama na kuongea habari za kushusha bei za vyakula wakati wao ndio wamepandisha gharama za kila kitu.
 
Back
Top Bottom