Moshi Manispaa: Mwalimu wa kawaida ambae hana cheo hajapata kishikwambi. Manung’uniko yayawala

njwanjwanjwa

Member
Jul 28, 2022
8
11
Lile Lengo la Serikali la kumpa kila Mwalimu kishikwambi limegonga mwamba katika halmashauri ya Manispaa ya Moshi. Ambapo sasa mwalimu ili upate kishikwambi lazima uwe kwenye categori ya uongozi. Yani uwe eitha:
1. Mkuu wa shule

2. Second masta

3. Mwalimu wa taaluma (Academic master)

4. Mwalimu wa nidhamu (Disciplin master)

5. Mwalimu wa fedha

6. Mwalimu wa tehama (Kama shule ina Fundisha Hilo somo)

7. Mwalimu wa malezi na chakula

8. Wakuu wa Idara za masomo. ( Kama masomo yako 11 maana yake idara ziko idadi hiyo hiyo hivo basi vishikwambi vita kuwa 11 kwa wakuu wa idara hizo kila mmoja akipewa kimoja kwa masharti kuwa kishikwambi hicho kitatumiwa na walimu wote wa idara hiyo)

9. Mmoja kati ya walimu wa Sarasa kidato kimoja. Kwa mfano, form one aanaweza kuwa na mikondo minne kwa maana Form one A, B , C na D which means hapo kuna walimu wa madarasa wanne kila darasa mmoja mmoja. Hivyo basi wote wanne anachaguliwa mmoja ( upendeleo Hapa hutawala) kati ya hao wanne na kupewa kishikwambi kwa niamba ya wengine.

Shule nyingi hapa nchi kulingana na idadi ya wanafunzi waliopo shuleni hiyo si ajabu kukuta shule ina walimu 38 na kwendelea. Japo kuna baadhi ya shule zina wanafunzi pungufu ya hao na nyingine zina walimu zaidi ya hao hadi 80+.

Kwa ufafanuzi huo, kama shule imepewa vishikwambi 22 tu maana yake walimu zaidi ya waliopewa hivo vishikwambi kulingana na nafasi zao ni wengi.

Katika manispaa ya Moshi mjini, walimu waliokosa vishikwambi niwengi sana .
 
Tumetoka mbali

Huko nyuma siku ya harusi, soda zilikuwa zinanywewa na Bw na Bibi harusi, wazazi wa pande zote mbili na baadhi ya watu maarufu hapo mtaani, waliobaki wanakunywa togwa, kindi, komoni and the like
 
Tumetoka mbali

Huko nyuma siku ya harusi, soda zilikuwa zinanywewa na Bw na Bibi harusi, wazazi wa pande zote mbili na baadhi ya watu maarufu hapo mtaani, waliobaki wanakunywa togwa, kindi, komoni and the like
ila siku hizi
20230121_075818.jpg
 
Vishkwambi vyenyewe ni vya kishamba mpaka basi! Sidhani kama hata bei yake dukani inavuka Tsh. 300,000/=
Kumbe!aisee nilitaka kutupa ka Infinix kangu nikijua nibonge la simu ...sizitaki mbichi hizi,maana hayo matablet nasikia yanakula bando Sana....ila nikipewa naweza nikachukua kwa mbaaali!
 
Tumetoka mbali

Huko nyuma siku ya harusi, soda zilikuwa zinanywewa na Bw na Bibi harusi, wazazi wa pande zote mbili na baadhi ya watu maarufu hapo mtaani, waliobaki wanakunywa togwa, kindi, komoni and the like
 
Maswa wamepewa walimu wanne tu kila Shule vingine vimepigwa. Anyway tusubiri tamko la Sophia Mjema.
 
Back
Top Bottom