Nimeona hii habari huko Twitter. Inasema kuwa Mbowe alikuwa mwenyekiti wa CDM mwaka 2004. Wakati huo katiba ya chama ilikuwa imezungumza kuwa kutakuwa na ukomo wa miaka kumi kwa mwenyekiti. Mwaka...
Ni miaka miwili kamili leo hii tangu aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania hayati John Pombe Magufuli afariki dunia.
Kifo cha Magufuli kilipokelewa kwa hisia tofauti...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema Serikali imejipanga kuboresha huduma kwa watalii katika nyanja mbalimbali ili kuvutia watalii wengi zaidi ikiwa ni mkakati wa kuwafanya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hapa tulipofikishwa na serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia Suluhu Hassani tuna kila sababu ya kizalendo kumshukuru sana Rais wetu...
CHADEMA , ACT WAZALENDO , CCM pamoja na CCM B wote wanajua, Mama Samia ni mpenda haki, amani na upendo na mwenye niya ya Dhati kabisa katika kuliunga Taifa moja la Tanzania lenye amani, umoja...
Rais Samia awezesha ndege mpya ya mizigo kutua Aprili.
Na Bwanku Bwanku.
Ndege mpya ya mizigo iliyoagizwa na Serikali ya Tanzania kutoka nchini Marekani inatarajiwa kupokewa nchini mwezi Aprili...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeridhia na kuidhinisha matumizi ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya takribani Bilioni 35.4 kwa mwaka wa Fedha 2023/24.
Makamu...
KAMATI YA BUNGE YAIDHINISHA BAJETI WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeridhia na kuidhinisha matumizi ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa...
DC VICTORIA MWANZIVA - MIAKA MIWILI YA RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN NDANI YA WILAYA YA LUDEWA
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Victoria Mwanziva amesema; kwa hakika Miaka Miwili imekuwa ya Neema...
Hizi ni baadhi ya sababu za JPM kutumbua!
1.Viongozi kutumbuliwa kwa kushindwa kuwawajibisha watendaji walio chini yao pale wanapobainika kutenda hovyo!
Yeye mwenyewe kashindwa kumuwajibisha...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mh Ole Sosopi mapema leo amefundisha elimu ya Katiba Mpya huko Ifakara, wakati wa Mkutano wa hadhara uliofanyika jimboni humo.
Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba...
Mikoa kumi iliyovutia wawekezaji kwa kuangalia thamani (Tsh) ya miradi iliyosajiliwa na TIC kwa mwezi Februari 2023;
1. Dar - Bilioni 422
2. Pwani - Bilioni 307
3. Morogoro - Bilioni 19
4. Ruvuma...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Kim, Sun Pyo ambapo ameeleza kuwa Serikali...
Arusha
Vigogo wamejitokeza kuwania nafasi za wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Arusha.
Miongoni mwa waliojitokeza kuwania nafasi hizo ni Mbunge wa Bunge la Jumuiya...
Rais Samia akiwa katika Maadhimisho amezungumza mambo mbalimbali. Akiwa anajibu hoja ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAWACHA kuhusu nia yao ya kushika dola 2025 Rais Samia amesema:
"Ndugu zangu...
Nimeandika kichwa Cha habari apo juu kwa kuangalia mwenendo wa viongozi, baadhi ya wanachama na mashabiki wa chadema kujitoa akili kukimalisha CCM na mwenyekiti wake.Nasema hivyo kwa sababu...
Mchoro wa mtu anayefanya udadavuzi wa fikira
Na Dkt. Ada LOVELACE, Pambazuko Toleo Na. 0031
1. Usuli
Maadili asilia ni kanuni za kuongoza tabia za watu zinazopatikana kutokana na kuangalia...