Wakunyuti
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 380
- 13
Kuna kitu mpaka sasaivi bado kinanichanganya na naomba wana JF mnisaidie kwa hili..
Olduvai Gorge has been strongly associated with human origins according to the History, na kwamba inasemekana kuwa hapo ndipo mahali ambapo mifupa ya binadamu wa kwanza kabisa kuishi katika hii inaposadikika kuonekana/kupatikana.. Olduvai inapatikana Africa tena katika nchi yetu ya Tanzania..... Najiuliza maswali yafuatayo :
1. je suala ilo ni la ukweli????
2. Kama ndio je dunia inalitambua hili??
3.Kama ndio iweje Serikali yetu hai take advantage na kwa ishu nyeti na nzito kama hii???
Kwa mawazo yangu naona Tanzania ndio ingekua nchi famous na inayovutia watalii kuliko nchi nyingine yeyote katika dunia hii sababu historia yake moja kwa moja inahusiana na historia ya mwanadamu yeyote duniani.....
kwanini olduvai Gorge isiwe famous duniani kote hata kuzidi serengeti na kutupatia pato kubwa sana katika sekta ya utalii kupitia hapo??? Je tumeshindwa kabisa kujitangaza??au bajeti ni ndogo??? au historia tuliyojifunza tukiwa shuleni ni ya uongo??
Jamani naombeni mnisaidie kwa hayo wana JF