Wanaoisema Sukuma Gang ni waoga

Wanaoisema Sukuma Gang ni waoga

happyxxx

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
603
Reaction score
1,973
Mbunge wa Sengerema Hamis Tabasamu akieleza mafanikio ya miaka miwili ya Serikali ya awamu ya sita amesema wanajivunia miradi ya kimkakati inayoendelezwa Mwanza na kusema walioibuka na kusema kuna Sukuma Gang ni waoga wanaotaka madaraka na kutengeneza hofu

Ujumbe huu uwafikie wale vijana wa chama cha upinzani kinachoeneza chuki za kikabila kwa wasukuma.
 
Mwanzilishi wa neno sukuma gang ni fumbapu zake!
 
Mbunge wa Sengerema Hamis Tabasamu akieleza mafanikio ya miaka miwili ya Serikali ya awamu ya sita amesema wanajivunia miradi ya kimkakati inayoendelezwa Mwanza na kusema walioibuka na kusema kuna Sukuma Gang ni waoga wanaotaka madaraka na kutengeneza hofu

Ujumbe huu uwafikie wale vijana wa chama cha upinzani kinachoeneza chuki za kikabila kwa wasukuma.
View attachment 2563951
SUKUMA GANG ndio Waoga Adui yao ni CCM lakini Wanahangaika na Chadema
 
Sukuma Gang ni kundi la.watu waovu wasioitakia mema nchi yetu kwa sababu hawa ni wahamiaji haramu toka Burundi,asili yao ni vurugu,ushamba na roho mbaya.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom