Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,689
- 3,264
Nimeona hii habari huko Twitter. Inasema kuwa Mbowe alikuwa mwenyekiti wa CDM mwaka 2004. Wakati huo katiba ya chama ilikuwa imezungumza kuwa kutakuwa na ukomo wa miaka kumi kwa mwenyekiti. Mwaka 2006 yalifanyika mabadiliko ya katiba. Lakini suala la ukomo wa uongozi halikuzungumzwa kwenye mkutano. Inasema kuwa katiba ilipoendwa kuchapwa, Mbowe akaondoa kipengele cha ukomo wa uongozi kinyemela. Hii ndiyo hadi leo mwaka wa 20 bado ni mwenyekiti.
Madai haya yanaukweli wowote?
Madai haya yanaukweli wowote?