Lema: Mahabusu wa Kesi za Ugaidi Arusha wakaa Gerezani muda mrefu kutokana na Uhaba wa fedha Mahakamani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA Godbless Lema anesema Arusha kuna Mahabusu wa kesi za Ugaidi ambao wamekaa ndani muda mrefu kwa sababu tu Mahakama haina fedha.

Lema anesema yeye na rafiki zake wamesema andiko la Shekhe Ponda na wamesikitika sana hivyo amemuomba Jaji Mkuu Prof. Juma awape Bajeti ili yeye na rafiki zake waisaidie Mahakama.

Lema ameongea kwa huzuni kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Mlale unono!
 
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh Godbless Lema anesema Arusha kuna Mahabusu wa kesi za Ugaidi ambao wamekaa Ndani Muda mrefu kwa sababu tu Mahakama haina Fedha

Lema anesema Yeye na Rafiki zake wamesema andiko la Shekhe Ponda na wamesikitika sana hivyo amemuomba Jaji mkuu Prof Juma awape Bajeti ili Yeye na Rafiki zake waisaidie Mahakama

Lema ameongea kwa huzuni kupitia ukurasa wake wa twitter

Mlale unono!
Sisi Sukuma gang hatuamini serikali ya malaika itese watu wake Lema anatania tu Wala sio kweli
 
Wewe punguani, usalama wa nchi haungalii ni Rais yupi yupo madarakani. Hivi unajua 75%+ ya hao viongozi walikamatwa awamu ya ngapi?

Tusilete siasa za kijinga kwenye masuala ya usalama wetu kama Taifa! Mtu akiwa mhalifu atashughulikiwa bila kujalisha rangi, kabila au dini.

..walitakiwa kufikishwa mahakamani.

..labda tujiulize kwanini Maza kawaachia Mashekhe wa Uamsho, ambao ni Wazenj wenzake, huku Mashekhe wa Kitanganyika wakiendelea kusota magerezani?
 
Tanganyika aliachiwa Mbowe na wenzake!

..Mbowe sio Shekhe.

..Nauliza kwanini walioachiwa ni Mashekhe toka Zenj, huku Mashekhe wa Kitanganyika wakiendelea kusota?

..Shekhe Ponda anadai yupo Shekhe Mtanganyika ana miaka 95+ anashikiliwa wakati afya na umri wake ni mgogoro.

..Majuzi kuna Shekhe kafia magereza naye alikuwa na umri miaka 80+.
 
Unajua hawa wamekuwepo mahabusu tangu lini?

..kwani Babu Seya mlawiti watoto alifungwa ktk awamu gani?

..Na nani alimtoa gerezani na kumpokea Ikulu?

..Halafu Sukuma gang wakashangilia wanadai kualika walawiti Ikulu ni kupinga ushoga!!
 
..Mbowe sio Shekhe.

..Nauliza kwanini walioachiwa ni Mashekhe toka Zenj, huku Mashekhe wa Kitanganyika wakiendelea kusota?

..Shekhe Ponda anadai yupo Shekhe Mtanganyika ana miaka 95+ anashikiliwa wakati afya na umri wake ni mgogoro.

..Majuzi kuna Shekhe kafia magereza naye alikuwa na umri miaka 80+.
Gaidi hana dini
 
Huyo prof. Juma ni zero kabisa, alijiingiza kwenye issue ya Lissu na kuonesha upande wake.
Kwa hiyo ukiwa upande wa Lisu inakuwa gaidi?mbona Chadema wako upande wa Lisu, acha hizo, hao Mashehe CCM ndiyo wanaojua kwa nini wako mahabusu kwani aliyewaweka ni mwenyekiti wao yaani mkuu.
 
..kwani Babu Seya mlawiti watoto alifungwa ktk awamu gani?

..Na nani alimtoa gerezani na kumpokea Ikulu?

..Halafu Sukuma gang wakashangilia wanadai kualika walawiti Ikulu ni kupinga ushoga!!

Sidhani kama hapa kuna jibu la lile swali.

Na kwa kukusaidia tu, hawa wamekuwepo tangu kipindi cha mzee Msoga. Sasa ongeeni nyie Msoga gang muwatoe.
 
Back
Top Bottom