Mbunge Ngassa: Wana Igunga tembeeni kifua mbele

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,863
930
WhatsApp Image 2023-03-27 at 09.51.12.jpeg


Mbunge wa Jimbo la Igunga Nicholaus George Ngassa, amewataka Wananchi wa Jimbo la Igunga kutembea kifua mbele kwa kuwa Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imejipambanua kushughulikia kero za Wananchi, kuimarisha huduma za jamii na kujenga uchumi jumuishi unaogusa maisha ya Watanzania.

WhatsApp Image 2023-03-27 at 09.51.11.jpeg


Mheshimiwa Ngassa (MB) amesema hayo alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Kata ya Mwamashiga kwenye Ziara ya kikazi aliyoifanya Siku ya Jumapili tarehe 26 Machi, 2023.

WhatsApp Image 2023-03-27 at 09.51.12(1).jpeg



Aidha Mhe. Jonathan Ntambi, Diwani wa Kata ya Mwamashiga amemuomba Mhe.Ngassa (MB) afikishe shukrani za dhati kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kutoa Fedha za Miradi ya Maendeleo kwa ajili ya Wananchi wa Kata ya Mwamashiga.

"Kazi na Maendeleo"

Imetolewa na:
Ofisi ya Mbunge,
Jimbo la Igunga.
27 Machi, 2023
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-03-27 at 09.51.14.jpeg
    WhatsApp Image 2023-03-27 at 09.51.14.jpeg
    124.7 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2023-03-27 at 09.51.10.jpeg
    WhatsApp Image 2023-03-27 at 09.51.10.jpeg
    155.9 KB · Views: 3
Back
Top Bottom