Mfumuko wa bei CCM VS vyama tawala eneo la maziwa makuu

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,884
22,599
RWANDA... mfumuko wa bei hivi sasa ni 20.7%... umepungua kutoka 21.6% Desemba 2022.

KENYA... mfumuko wa bei kwa sasa ni 7.95%... hapo umeongezeka kwa 0.29%... Desemba 2022... mfumuko Kenya ulikuwa 7.66%.

DRC... mfumuko wa bei upo 14.06%... ongezeko la 1.18%... Desemba 2022... mfumuko ulikuwa 12.88%.

BURUNDI... mfumuko wa bei ni 26.64%... umepungua 0.04%... Desemba 2022... mfumuko ulikuwa 26.68%.

UGANDA... takwimu zinaonesha mfumuko wa bei ni 10.4%... ongezeko la 2%... Desemba 2022... mfumuko ulikuwa 8.4%.

SOUTH SUDAN... hali ya mfumuko wa bei ni 21.68%... umeongezeka 4.08%... Desemba 2022... mfumuko ulikuwa 17.6%.

ZAMBIA... takwimu za taifa hilo zinaonesha mfumuko wa bei ni 9.4%... umepungua 0.5%... Desemba 2022... mfumuko ulikuwa 9.9%.

TANZANIA... mfumuko wa bei ni 4.9%... ongezeko la 0.1%... Desemba 2022... mfumuko ulikuwa 4.8%.

Tuambizane... ukitazama hali ya mfumuko wa bei kwa kila nchi... Tanzania ndio yenye asilimia za chini dhidi ya majirani wote... hicho ni kiashiria bora kabisa cha uimara wa uchumi wa nchi.

Tusiukimbie ukweli... dunia inapigishwa magoti na athari za Covid-19 na Vita ya Ukraine... Ulaya kwa sasa wastani wa mfumuko wa bei ni 10%.

Marekani... ipo vitani na mfumuko wa bei... hivi sasa takwimu zinaonesha 6.5%... kutoka 9.1% Oktoba 2022.

Tushukuru japo kwa hili... Tanzania ina unafuu wa mfumuko wa bei kwa sasa kuliko nchi za Ulaya na Marekani.

Unafuu wa mfumuko wa bei kwa Tanzania... ni matunda ya jasho jingi ambalo Mama Samia anavuja... hataki kuona Watanzania wanateswa na ugumu wa maisha.

Dunia nzima... kila nchi... kilio cha kupaa kwa bei za bidhaa... hasa chakula... ni kikubwa... kikubwa sana.

Kwa sisi wafuatiliaji wa dunia... hali tunayoona nchi nyingine... humshukuru Mungu tunapotazama unafuu wa Tanzania yetu.

Asante sana Mama Samia... kwa hii hali ya unafuu wa mfumuko wa bei. Malipo yako ni mengi mbinguni.

Inatusaidia nini sisi?
 
Nimeangalia nchi zote Africa zenye mfumuko mdogo wa bei ni zile zenye uchumi mdogo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom