Kwa viongozi na watu waliobakia CHADEMA kwasasa hakuna mwenye nguvu na mvuto wa kukipeleka chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025 na kikapata Wabunge 10. CHADEMA inahitaji mtu mwenye nguvu kutoka CCM ili kuwa na uhai wa kupambana kwenye uchaguzi wa 2025.
Aidha Mama Samia au mdau mmoja kutoka Sukuma gang anapaswa kutua CHADEMA pale mwakani 2024 mwishoni au 2025 mwanzoni.
Yoyote kati ya Mama Samia au Mwanachama wa CCM kama Job Ndugai, Majaliwa, Lukuvi, Kalemani n.k akitua CHADEMA na kukawa na muungano wa Ukawa kama 2025, atatoboa lazima.