Rais Samia fanya maridhiano pia na "Umoja Party", usidanganye kuwa kimekufa

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Kinachoendelea kwa Serikali ya CCM na CCM yenyewe ni mwendo wa maridhiano ili nchi itulie kila anayekula na kipofu asiguswe mkono.

Kama hiyo ndiyo njia muafaka iliyochaguliwa basi hakuna haja ya kujenga chuki na waasisi wa Umoja Party inayoendelea nchini kutafuta wadhamini Ili hatimaye kipate usajili wa kudumu.

Chama hiki kina watu wenye fedha, wenye akili, wenye maono waliojaa kila mahali ikiwemo Baraza lako la Mawaziri. Kiko kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, nyumba za ibada, mabalozi nakadhalika. Kinaamini katika Fikra za Hayati Magufuli.

Kwa mipango Yao, mikakati Yao ni kwamba utatumia nguvu nyingi 2025 kushinda Uchaguzi. JK kakushauri uungane na Chadema ili kuepusha chama hiki kuja kuungana na Chadema maana wako ndani CCM. Lakini ushauri wangu Bora kufanya maridhiano na Umoja Party kuliko wapinzani njaa ambao bila asali msingefunga ndoa hiyo maana Umoja Party tayari wana asali ya kutosha. Tafakari, chukua hatua kungali mapema.
 
Unaanzaje kuridhiana na mtoto aliye tumboni?

Hujui atazaliwa au la, na akizaliwa hujui JINSIA yake, hujui ataishi muda Gani nk nk .

Wapate usajili kwanza.
Hata bila usajili kina nguvu sana. Miongoni mwao yumo Ayubu aliyewahi kuongoza moja ya mhimili wa Dola, anaijua nchi.
 
Achana nao maana waharifu wenye tabia zinazofanana ndio hutafutana kuwa pamoja; wanajipongeza kukamilisha shughuli ya kumshughulikia kisiki.

Vifaa vya kiroho vitageuza meza na kumwonesha paka aliyefungwa chini ya hiyo meza ndio mhusika mkuu wa uharifu wa kisiasa kisha anasingizia wengine.

Rejeeni mahubiri ya Gwajiboy mwaka 2016-2017 kwamba " kuna kikundi kimepanga kumwua Lowassa na wakishakamilisha watamsingizia Magufuli kuwa ndiye aliyemwua" kwamba wakishakamilisha kazi hiyo watamwua Magufuli na kusingizia watu wa Lowassa ndio wamemwua ili kuficha utambulisho wa uovu wao"

Baada ya afya ya Lowassa kutetereka kipindi fulani ambapo alibidi atulie kwanza kikundi kilihamishia mpango wao kutaka kumwondoa Lissu kwa kuwa nyota yake kisiasa na ujengaji hoja kuonekana ni tishio ndipo wakalenga baada ya hapo aliyesingiziwa ni Magufuli mpaka leo.

Kifo cha Magufuli kimetokea wakusingiziwa walighairi baada ya kuona upenyo ni kwenye historia ya afya ya Magufuli huko nyuma ambapo waliosababisha walikuwa ni wenyewe.

Ni ukweli usiopingika kwamba Magufuli alishakiri hadharani kwamba kuna baadhi ya mawaziri waandamizi enzi ya awamu ya nne walitaka kumwua kwa kumwekea sumu akiwa Dodoma. Baada ya kunusurika ilipelekea kuwa na tatizo la moyo.

Suluhisho la mauji ya kisiasa ni kumwendea Mungu aliye hai atatoa jibu tu.
 
Suluhisho la mauji ya kisiasa ni kumwendea Mungu aliye hai atatoa jibu tu
⏳️⏰️
 
Wapi Magu alilalamika Mawaziri wa JK walitaka kumuua wewe.
 
Umoja Oyeeee

Tupo? Mpooooo?

Watu 'eeeeeeeh' 'Kwa Umoja tupo'

kana nasikia viwanjani huko!

2025 utakuwa mwaka ambao Rushwa itahalalishwa. Umoja wakatae hayo. Kazi tuuu
 
Kinachoendelea kwa Serikali ya CCM na CCM yenyewe ni mwendo wa maridhiano ili nchi itulie kila anayekula na kipofu asiguswe mkono.

Kama hiyo ndiyo njia muafaka iliyochaguliwa basi hakuna haja ya kujenga chuki na waasisi wa Umoja Party inayoendelea nchini kutafuta wadhamini Ili hatimaye kipate usajili wa kudumu.

Chama hiki kina watu wenye fedha, wenye akili, wenye maono waliojaa kila mahali ikiwemo Baraza lako la Mawaziri. Kiko kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, nyumba za ibada, mabalozi nakadhalika. Kinaamini katika Fikra za Hayati Magufuli.

Kwa mipango Yao, mikakati Yao ni kwamba utatumia nguvu nyingi 2025 kushinda Uchaguzi. JK kakushauri uungane na Chadema ili kuepusha chama hiki kuja kuungana na Chadema maana wako ndani CCM. Lakini ushauri wangu Bora kufanya maridhiano na Umoja Party kuliko wapinzani njaa ambao bila asali msingefunga ndoa hiyo maana Umoja Party tayari wana asali ya kutosha. Tafakari, chukua hatua kungali mapema.
WE wanakiogopa vibaya mno
 
Achana nao maana waharifu wenye tabia zinazofanana ndio hutafutana kuwa pamoja; wanajipongeza kukamilisha shughuli ya kumshughulikia kisiki.

Vifaa vya kiroho vitageuza meza na kumwonesha paka aliyefungwa chini ya hiyo meza ndio mhusika mkuu wa uharifu wa kisiasa kisha anasingizia wengine.

Rejeeni mahubiri ya Gwajiboy mwaka 2016-2017 kwamba " kuna kikundi kimepanga kumwua Lowassa na wakishakamilisha watamsingizia Magufuli kuwa ndiye aliyemwua" kwamba wakishakamilisha kazi hiyo watamwua Magufuli na kusingizia watu wa Lowassa ndio wamemwua ili kuficha utambulisho wa uovu wao"

Baada ya afya ya Lowassa kutetereka kipindi fulani ambapo alibidi atulie kwanza kikundi kilihamishia mpango wao kutaka kumwondoa Lissu kwa kuwa nyota yake kisiasa na ujengaji hoja kuonekana ni tishio ndipo wakalenga baada ya hapo aliyesingiziwa ni Magufuli mpaka leo.

Kifo cha Magufuli kimetokea wakusingiziwa walighairi baada ya kuona upenyo ni kwenye historia ya afya ya Magufuli huko nyuma ambapo waliosababisha walikuwa ni wenyewe.

Ni ukweli usiopingika kwamba Magufuli alishakiri hadharani kwamba kuna baadhi ya mawaziri waandamizi enzi ya awamu ya nne walitaka kumwua kwa kumwekea sumu akiwa Dodoma. Baada ya kunusurika ilipelekea kuwa na tatizo la moyo.

Suluhisho la mauji ya kisiasa ni kumwendea Mungu aliye hai atatoa jibu tu

Hizo ni theory tu. Matatizo la moyo ya late jpm hayakuanza akiwa madarakani. kabla hata ya uwaziri.
Gwajiboy sijui nani nani wote hao ni watu wa conspiracy no evidence at all
 
Back
Top Bottom