Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kila Kukicha Jijini Arusha ,uhalifu unazidi kuongezeka. Kwa Bodaboda, maisha yao uanabadilika Kila baada ya Dakika Kadhaa. Aina ya Mauaji ni ileile Kukatwa Shingo Kutobolewa Macho. Ikimaanisha...
7 Reactions
10 Replies
214 Views
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗞𝗨𝗠𝗪𝗔𝗞𝗜𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗠𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗢 𝗪𝗔 𝗔𝗙𝗬𝗔 𝗠𝗢𝗝𝗔 𝗡𝗖𝗛𝗜𝗡𝗜 𝗜𝗧𝗔𝗟𝗜𝗔 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameondoka nchini leo (Jumamosi, Septemba 19, 2026) kwenda Roma, Italia...
2 Reactions
7 Replies
135 Views
Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Waziri Mkuu Mara ya kwanza tuliona Machawa na wanaounga mkono Wauaji wa 29.10.2025 na Wanaopenda maovu wakimuandama Emmanuel Nchimbi hadi akaitwa Yuda. Baadaye...
27 Reactions
63 Replies
2K Views
Baada ya kusoma maelezo ya wakili Matata, hiyo ndivyo nilivyoelewa. Kwahiyo, mpaka hapa, Lissu aliitega mahakama na mahakama ikaingia kingi ingawa nashindwa kuamini kuwa mahakama haikuona hii...
12 Reactions
17 Replies
423 Views
Kwa wajuzi wa mambo ningependa kupata ufafanuzi je CNN inayo mamlaka ya kufanya uchunguzi na kudeclare eti ni uchunguzi wenye hadhi ya forensic investigation? Hii fani ya forensic investigation...
2 Reactions
75 Replies
2K Views
MASHIRIKA YANAYOCHELEWESHA MIRADI YA PPP SASA KUWEKWA KITIMOTO BUNGENI DODOMA === SPIKA ZUNGU amesema kuwa baadhi ya miradi ya PPP imekwama kwa muda mrefu, hali inayosababisha kupungua kwa...
5 Reactions
33 Replies
539 Views
  • Featured
Mahakama Kuu kupitia kwa Jaji Dunstan Ndunguru imekataa ombi la mshtakiwa Tundu Lissu la kuwaita baadhi ya mashahidi wa utetezi katika Kesi ya Uhaini Na. 19605/2025, ikieleza kuwa ushahidi wao...
21 Reactions
184 Replies
5K Views
Kaandika huko mtandao wa X.. AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria. Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya...
13 Reactions
62 Replies
1K Views
Uchaguzi wa 2030 huo ndo utakua hatari zaidi ya October 29 wananchi wa sasa wanajua sio wajinga Magufuli aliwahi kusema watanzania sio wajinga kama watu wanavyodhania...
14 Reactions
37 Replies
301 Views
Mabadiliko huwa yanatia uoga kwa sababu yana gharama zake. Kama kuna vitu umevishikilia, lazima vingine viondoke, ubakize vichache au ukubali kupoteza vyote. CCM bado wana uoga wa mabadiliko...
0 Reactions
4 Replies
63 Views
Saa 3 kamili asubuhi , Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Wegesa Heche amefika mahakamani kuulizwa maswali ya Dodoso na Mawakili wa Jamhuri Kaa tayari kwa updates Mwenyekiti wetu Tundu Lissu...
35 Reactions
384 Replies
12K Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuwa mfano wa demokrasia nchini, kikisisitiza kuwa misingi hiyo inaanza ndani ya Chama chenyewe. CCM imesema imekuwa ikizingatia misingi ya...
0 Reactions
4 Replies
112 Views
Tulitarajia Ushahidi wake ndio ungekuwa chachu ya kumnyonga Tundu Lissu, lakini kakimbia Hii ni kwa sababu ule Ushahidi wa kwenye yale makabati ya mbao, ule ushahidi wa wale wahalifu waliohongwa...
24 Reactions
34 Replies
720 Views
Akiwasilisha maadhimio ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Leo Septemba 19, 2026, Dkt. Rugemeleza Nshala, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA amesema; “Kamati Kuu inasema kile...
12 Reactions
29 Replies
396 Views
Wakuu, Jana Chivayo alikuwa mjini, na kwenda kusalimia Ikulu kulingana na picha pamoja na melezo aliyoweka. Safari hii amepewa na maelezo ya kuandika kwenye caption. Unadhani ni mazungumzo gani...
7 Reactions
56 Replies
2K Views
Tukiacha Mihemko, Ukiangalia Tanzania ya leo, kuna mambo mengi yanaendelea. Kuna miradi inajengwa, huduma zinaendelea kuboreshwa na mipango ya maendeleo inaendelea kuwekwa kwa ajili ya miaka...
1 Reactions
19 Replies
111 Views
Mnamo mwezi Jan 2026 nilisema namna Mh Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dr Hussein Ally Mwinyi anvyokonga nyoyo za wazanzibar kwa kuwaletea maendeleo endelevu kisiwani humo. Nilisema pia...
8 Reactions
47 Replies
781 Views
Wanaukumbi. LISSU ALIKUWA HAJUI KUWA ANACHEZA NA MOTO📌 INAWEZEKANA KABISA Bwana Lissu alikuwa hajui kuwa anacheza na moto au alikuwa anacheza na watu wako siriazi na mambo haya mpaka...
9 Reactions
145 Replies
2K Views
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X, mfanyabiashara na mwizi wa uchaguzi Wicknell Chivayo ameweka wazi azma yake kuwekeza kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 500 (Dola Milioni 200) katika sekta ya utalii...
8 Reactions
39 Replies
987 Views
Salam Wakuu, Huyu jamaa ana mpaka rekodi ya kufungwa kutokana na utapeli! Huwa anapewa tenda ya vifaa vya uchaguzi na huko ndio anapata na mwanya wa kutoa michoro ya kuharibu uchaguzi kwa kuhonga...
11 Reactions
250 Replies
28K Views
Back
Top Bottom