Hii ni kali! Angalia tulivyopokea dini zao na kudharau zetu.Imagine watu wanakamatwa halafu upelelezi haujakamilika mwezi mzima? Kukamata ni nguvu kazi ila upelelezi ni elimu na weledi..
Tutabaki kuwa nyuma mpaka Yesu arudi.Nilikuwa naangalia itv nimeona watuhumiwa wa ugaidi wamesh kuwaindwa kusomewa mashtaka Yao kwasababu ushahidi haujakamilika.....Huu ni upumbavu wa CCM inasababisha tuonekane watanzania wote Akili zetu ni kama polisi
SahihiImagine watu wanakamatwa halafu upelelezi haujakamilika mwezi mzima? Kukamata ni nguvu kazi ila upelelezi ni elimu na weledi..