==
Akihutubia katika mhadhara wa umma maalum uliofanyika Chuo Kikuu cha SUA, Bwana David Kafulila, Mkurugenzi Mkuu wa PPPC Tanzania, alisema mjadala kuhusu kupunguza idadi ya watu una sura mbili...
Oktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Lucas Mwashambwa
Lucas mwashamba
ChoiceVariable
Tlaatlaah
KAFULILA-UJANJA WA CHINA UMETOKA MAREKANI
Akihutubia katika mhadhara wa umma maalum uliofanyika Chuo Kikuu cha SUA, Bwana David Kafulila, Mkurugenzi Mkuu wa PPPC Tanzania, alisema kuwa historia...
Ni mpango wa Mungu.
Wao ndio wasimamizi wakuu wa usalama wa nchi, walinzi wa mipaka ya nchi, walinzi wa Rais na serikali yake, wana vyanzo vingi vya kupata habari popote ndani na nje ya nchi...
TULIPE KODI KWA MAENDELEO YA ZANZIBAR
Na Waheed Muhammad Ibrahim Sanya,
Msajili wa Hazina Zanzibar
Maendeleo ya mtu, jamii na taifa hayawezi kutenganishwa na uwepo wa rasilimali za kutosha za...
UNIDO yaahidi kuifanya Tanzania kuwa nchi ya mfano barani Afrika katika utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Ushirikiano na UNIDO (PCP)
Ahadi hiyo ilitolewa na Bi. Fatou Haidara, Naibu Mkurugenzi...
Maana yake kwenye mkakati wa Dira ya miaka 20 ijayoo ijenge SGR kwa gharama zake ikiziunganisha Uganda, Rwanda, Burundi, Msumbiji, Zambia, Malawi lkn pia iboreshe intensively nishati ya umeme...
Na walizungumza nini kwa mfano?
Na mbona facial expressions na body language zao hazina chemistry ya pamoja na kwamba ni kama vile hakuna cha maana kilichojadiliwa miongoni mwao jana?
au wewe...
JE, YALIKUWA MAANDAMANO AU MRADI WA UHAINI DHIDI YA DOLA?
Majibu kwa Paschal Mayalla — Sehemu ya Pili
Na Mwandishi Maalum
Katika mjadala wa kitaifa unaoendelea kuhusu kile kilichoitwa...
Biblia na hata Qoran vinasema mamlaka yote chini ya ardhi yanatoka kwa Mungu.
Binadamu tuyatumie vema.
Msingi wa yote ni ukweli.
Ukweli ni upanga ukatao pande zote mbili.
Ukweli haufichi maovu...
Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.
Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi...
Hii nchi ya Wagagagigikoko na kusadikika ina mambo ya ovyo sana. Tahadhari ya Elnino imeishatolewa na wataalamu lakini mpaka sasa hakuna mpangomkakati wowote wa kitaifa ulioweka na serikali...
Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko.
Hata huko Sierraleone na kwingineko...
Mwenyekiti wetu Mhe. Tundu Lissu ameshafika Mahakamani tangu majira ya saa tatu asubuhi.
Ramadhani Kingai DCI nae amefika na kuletwa na Makachero zaidi ya thelasini, anaulinzi mkali sana Hii...
Ndugu Zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza...
==
Mkurugenzi David Kafulila ameendelea kusimama kama sauti ya kizazi kipya cha viongozi wanaoelekeza Watanzania kwenye mustakabali wa taifa lenye uchumi ulio mkubwa ambao ni shindani na...
Wanabodi
Mwaka huu 2026, JF imetimiza miaka 20, kwanza nilishauri, wale wanachama waanzilishi wote wa jf waliojiunga mwaka 2006, wawe recognized, wapewe a token of appreciation, na kuingia kwenye...
Katika mazingira ya kawaida maadui wake waliotaka kumtoa uhai hawafurahishwi huyu bwana kuendelea kuishi.
Walitegemea wangemaliza historia yake lakini wakashindwa.
Ukiacha maeneo mbalimbali ya...
Rais wangu Samia Suluhu Hassan anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T | SG kwa TZS 6.5T na miradi mingine huku akiachilia vicheko kwa makundi mbalimbali ya watanzania,
" Hakuna...
Nina maswali kadhaa ambayo kutokana na umuhimu na uzito wake nimelazimika kuyauliza katika uzi mpya badala ya kutumia nyuzi za kesi hiyo zilizopo sasa.
Siku ya leo wakati Ramadhan Kingai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.