Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sote tumeona namna shahidi Ramadhani Kingai alivokwepa kusimama kizimbani na kutoa msimamo wake katika ushahidi dhidi ya kesi inayomkabili Tundu Lissu. Hiki ni kipimo kwa mahakama yetu hapa...
2 Reactions
28 Replies
407 Views
BURIANI MASHUJAA WETU YANA MWISHO HAYA Bonyeza HAPA kupakua Hotuba yake Hapa Chini nimeweka Video ni Mapendekezo yake.. MAONI NA MAPENDEKEZO KWA UFUPI Baada ya kufanya uchambuzi hapo juu...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Redirect
Angalizo : JamiiForums huu uzi wangu usiunganishwe na uzi wowote, hiyo tabia inakera wateja wenu na maoni ya Wateja wenu yanasomeka kwamba wanavutiwa na uwasilishaji wangu wa updates. Nawasihi...
1 Reactions
– Replies
– Views
Zanzibar. Uamuzi wa ACT-Wazalendo kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) Zanzibar umefungua ukurasa mpya wa siasa za visiwani na kwa kiwango fulani umeibua maswali kuhusu namna hatua...
0 Reactions
1 Replies
84 Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Jumla ya hawa wabunge 404 ni wahaini hata ndani ya mioyo yao na nafsi zao wanajua ya kuwa hawakuchaguliwa na wananchi Oct 29.2025
0 Reactions
4 Replies
120 Views
BAADA YA OCT 29, 2025 “TULIKOSEA”JE, TUNAWEZA PIA KUSEMA “TUWAJIBIKE” OKTOBA 29, 2025 2025 ni siku ambayo WaTanzania(Bara) inabidi kuungana katika kuyatafakari yaliyotokea kwa pamoja. Lakini...
1 Reactions
0 Replies
41 Views
  • Redirect
Nimeazisha uzi wangu baada ya Mods kuunganisha uzi wangu wa updates Mahakamani, mpaka nimeona kero na hasira kupost updates, uzi huu utakuwa unapata updates za majumuisho ya mwisho ya Mh Tundu...
4 Reactions
– Replies
– Views
Remembering Nyerere: Road to hell is paved with good intentions By Charles Makalala Thursday, October 09, 2025 - 5 min read It’s that time of year again. The day we mark the passing of...
11 Reactions
12 Replies
841 Views
Siku za karibuni kuna habari ambayo imekua ikitrend kwamba kuna mpango wa kuhamisha kata 10 za temeke ili kupanua wigo wa bandari kavu swali langu huu mpango unaendana na mradi wa mda mrefu wa...
2 Reactions
1 Replies
50 Views
Badala ya kuwaondoa watu masikini wa Kata 10 za Temeke ili kupisha Makontena ya Matajiri, Nashauri Masikini hao waachwe waendelee kuishi na wajifie wenyewe kwa njaa, badala yake Kariakoo,Posta na...
10 Reactions
51 Replies
428 Views
Ukifuatilia Siasa za ndani za Nchi nyingi ambazo ni kubwa Kwa eneo na watu wachache zimekuwa na shida sana ya watu wake kukosa Ajira (High Unemployment) licha ya kwamba baadhi Yao au zote Zina...
3 Reactions
41 Replies
171 Views
  • Redirect
Mawakili wa Tundu Lissu tayari wapo mahakamani Katibu mkuu wa Chadema Mh. John Mnyika tayari amefika Mahakama kuu kwenye Kesi ya Mh. Tundu Lissu inayoendelea siku ya leo. Mabalozi wa nchi...
4 Reactions
– Replies
– Views
Hizi Kesi zote tatu za Mauaji , Wakili Kibatala anashinda MAHAKAMA ya RUFANI dhidi ya Jamhuri. Dada wa Msuya akauliwa, J4 Akaua mfanyakazi wake akafungwa, Rufani akaachiwa. Super Sami aliuwawa...
8 Reactions
27 Replies
512 Views
Suala la kutokunekana kwa aliyekua makamu wa Rais Emanuel Nchimbi na wana CCM kua kimya limefanya tuonekane kama mazuzu kwamba CCM ya watu wasiopungua watu 100 tuliobaki wote ni takataka ndani ya...
7 Reactions
26 Replies
385 Views
Tarehe 22/08/2026 kulifanyika uzinduzi wa Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere ni mwezi mmoja kamili, ambapo ilikuwa ndio siku ya mwisho (mpaka sasa) ya aliyepata kuwa Makamu wa Rais Balozi...
8 Reactions
26 Replies
465 Views
Je, Makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa kwa sasa ana ubavu, nguvu, ushawishi na mikakati ya kisiasa ya kufanya hilo kutokea, ili hatimae kumdhibiti Lema asikatizekatize kwenye 18 za uongozi...
1 Reactions
65 Replies
553 Views
Ngozi nyeusi ni laana Hata mbwa kuonekana kando ya msafara wake ni hatari! Mlaaniwe polisi 1. Mauaji 2. Ubunafsi 3. Kujivika U-Mungu 4...you name all of them and the list is endless
11 Reactions
64 Replies
1K Views
Karibuni!Tuyatambue kwa majina na maeneo yalipo! 1. Gari linalomuendesha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga,Kule Mkoani Kilimanjaro. ( Toyota Landcuiser Prado J250)...
0 Reactions
2 Replies
145 Views
Ndugu zangu inahitaji moyo mkuu sana ili kuwa muumini wa katiba tuliyonayo nayo sasa, kwani mbali ya kuwa Ina mapungufu mengi haikuumdwa na raia bali iliundwa na viongozi Yaani watawala...
4 Reactions
38 Replies
233 Views
Back
Top Bottom